Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

Masikini wengi hatupo buzy tumeridika na maisha , Hivyo tunatumia muda Mwingi kufanya tendo la ndoa kwaajili ya kujifariji.
Faraja yetu ipo kwenye tendo la ndoa mimba nyingi zinakuja bila mipango.

Dini
Mafundisho ya imani yanatusisitiza tuzae tukaongezeke
Tukiamini watoto ni Baraka kila mtoto anakuja na Baraka zake.

Utegemezi
Ninazaa watoto wengi nikitegemea watasaidiana na kushirikiana kwa pamoja kupambana na na maisha.

Umani na kujifariji Nitazaa mtoto ambaye atakuja kuwa Rais au waziri mkuu, waziri nk.

N:B MASIKINI TUNAPEANA UJAUZITO BILW MIPANGO MIMBA INATOKEA FROM NO WHERE.
 
Ila mkuu mbona matajiri ndo wenye watoto wachache.
 
Jenerali naona unasia mbegu kama mchicha,πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kuna jamaa alikuwa anahojiwa BBC yule mfupi ana watoto sita ,eti anaomba asije kuzaa mwingine kwamba hajui πŸ˜‚πŸ˜‚jinsi ya kuzuia kuzaa!?

Anasema maisha yalimpiga na kulelea familia mpaka akataka kujiua.
 
Pole kwa ufinyu wa fikra!!


Hao binadamu unaowaona muumba Alisha program sura zao kabla hawajazaliwa yaani hata kabla Dunia haijaumbwa alishapanga watakuwepo!!

Kwahiyo idadi ya watoto utakayobana watazaliwa kwingine wewe usipotaka!na Kama umepangiwa watoto wawili tu bas hata ufanyaje watakuwa ni hao tu!!

Wewe zaa kwa kadri ya nguvu zako na andaa makazi na chakula tu Cha kuwalisha,swala la elimu litategemea na vipawa walivyopewa na mwenyezi aliyewaumba coz sio Kila mtu kaumbwa apate degree,diploma, Cheti Fulani,wengine Wana vipaji vyao fulani ndio vitakavyowalisha na KUJULIKANA kwao!!

Wewe zaa mkuu!!kwa kadri ya uwezo wa mkeo katika uzazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…