Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

Tuna maliza mwaka bado siku chache ila binadamu wote hatufanani.
kuna wale waliopata na wale waliopoteza.

Mimi na shukuru kupata kikubwa kuwa mzima wa afya na misukosuko kama magonjwa na ajali.

Japo tunasota maisha
Amen
 
This year I made a lot nimeanza MBA,nimejitambulisha ukweni,my 2 years kid went to school,nimejenga nyumba ya wazazi Ila Bado finishing which nitamaliza Feb 2023 and I'm expecting a new kid Jan 2023 almighty God please,I need you to accomplish more 2023 ...team elimu!!

.
Hongera mkuu,,,,,keep chasing the dream
 
Nimepoteza baba angu (RIP)
Nimepoteza millions
Nimempoteza mpenzi [emoji28][emoji28]
Huu mwaka na uishe tuu

Nimepata madeni,
Kikubwa uhai tunajaribu tena 2023
Pole kwa yote mkuu,,, Bt Mungu Ni mwema uko na afya
 
Nimempoteza baba angu
Mwak mzma sjanunua hat boxer mpya
Bado nakaa kwetu 24+
Mtoto mmoja nimesusiwa na mama ake

Mafanikio ni KUJIUNGA JF[emoji120][emoji120]
Kusoma uzi kama
Kula tunda kimasihara
Wazee wa mikeka
Keep chasing the dream dude,,,umri unaruhusu,,,, pole kwa msiba
 
Nilitamani kutimiza mambo 3 nimekamilisha 2 moja nimeshindwa, ila ilikua nje ya uwezo wangu.
 
Huu mwaka kwangu umpotea na uchungu na maumivu

Ngoja nione 2023 mchakamchaka wake nao utakuwaje.
 
Back
Top Bottom