Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera, mapambano yaendelee tusikate tamaa !Ndugu zangu mimi namshukuru Mungu mwaka huu mipango imesogea kidogo.
Vipi kwa upande wako mipango imesonga au ndio mambo ni yale yale?
View attachment 2448391
InshallahTujaribu tena mwakani
Umemaliza mama, tuombeane kheriTujaribu tena next time.
Maombi na Duwa, Inshallah, Allah atufanyie wepesi mwakani Alihamdulilah.
Mapambano yanaendelea2021 ilikua nzuri sana kwang, huu 2022 sijausoma kabisa yaani
Like meWell ni December, tunaumalizia mwaka! Kila mmoja kwa namna yake kuna malengo alijiwekea, yametimia? Kama ndiyo kwa asilimia ngapi? Na kama bado kwa nini? Wapi ulifeli?
Binafsi niseme malengo hayakutimia kwa 95%, kuna biashara ipo somewhere, vijana wanaharibu mwanzo mwisho. Kwa huu mwaka nimeshawabadilisha kama mara 3, nakosa usimamizi mzuri kutokana na majukumu yangu mengine.
Kuna bajaji nilinunua (mkononi) bei poa 3.8m, ilikuwa kwenye mazingira mazuri nikampa kijana. Ni headache, kila siku visingizio mara service, kwa wiki hela naweza kupewa mara 4 au tatu, nikamnyang'anya nikampa ndugu yangu akomae.
Huyu ndiyo kirusi kabisa, hela haleti mara service, mara sijui kanunua nini na hivi sina uzoefu na spare na service, kwa ujumla ananipiga haswa! Nimepanga kuiuza na nishamwambia dalali, najua ndugu hawatanielewa lakini hakuna namna. Kuna ka-plot kako sehemu, nilipanga kujenga lakini nimeishia kuweka tofali tu.
Kuna mtu nilimuazima kiasi kadhaa aiendeleze biashara yake, mambo siyo mambo, niseme ana majanga kuliko mimi, tena hata kumdai nashindwa, naona akinikatia plot kama sehemu ya makubaliano endapo atakwama kunilipa.
Kuna majanga yalitokea kazini, dah, namshukuru Mungu mambo yakaenda powa, ingenigharimu sana.
Kwa kifupi huu mwaka haujawa mzuri kwangu kimalengo, kiuchumi naona niko pale pale nilipokuwa, malengo niliyojiwekea vitu vingi sijatimiza.
Vipi malengo yako yametimia? Kichumi na nyanja nyinginezo? Naamini kuteleza siyo kuanguka, bado tunayo nafasi ya kupambana na kusahihisha tulipokosea.
Lengo langu mwaka huu 2022 nikimbie(jogging) 1,500km. Mpaka sasa nimekimbia 1,330s km kwa kweli sitoboi Nina wiki mbili tu
Cc Twilumba
View attachment 2436694
Halafu hujajibu PM yanguNilipanga nianze Gym
Nilichofanikiwa ni kwenda kuulizia bei tu
Labda mwakani nitatimiza lengo
Huu ni mwaka ambao nimepata mtoto.
But huu ni mwaka nimepoteza millions
Huu ni mwaka nimesusurika kufa august, all in all bado nahema, napambana namshukuru mungu[emoji7]
Mimi umri Badoo sana, hongeraamimi nimepata mtoto wa kiume na umri umekwenda.
Hongera zako...mungu akubariki!mimi nimepata mtoto wa kiume na umri umekwenda.