Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Mkuu mshana tunakataaa ndoa ile ya pingu ya maisha hawa viswaswadu wa sasa ukifunga hyo umekwisha legend , serikal na bunge letu wanatakiwa kutuletea ile ya mkataba kma wanataka hii taasisi yao iliyoptwa na wakati iendelee...
Mkataba wa kazi gani sasa?!
 
Kituo kinacho fuata naona kitakuwa ndoa za mikataba.
Screenshot_20220708-160640_Chrome.jpg

Itafikia kipindi kuoa kutaonekana ni jambo la kishujaa.
 
Wazazi wako wamekuleaje sasa bila ndoa wakikulea pamoja ndio ndoa yenyewe hiyo.

Kwann vijana mnamtazamo kuwa Ndoa ni mapenzi ya mume na mke tu. Ndoa ni taasisi ya malezi na makuzi ya mtoto na ndio lengo lake kuu. Mapenzi ni kisehemu chenu nyie wawili ila msingi wa ndoa ni malezi na makuzi ya watoto.

Ndoa za sasa zinafeli sababu mwanamke hakai ndani yupo nje kutafuta ndio maana maadili yanaharibika , watoto wanakuwa hovyo na wanaume wanasaliti maana wanajua mke kama hayupo ndani atakuwa nje na mtu mwingine na ndio ukweli wanawake wachache sana wapo serious na maisha ila wake za watu wanaliwa sana huku nje.
Sawa.
 
In a long lasting relationship, honesty and trust must exist.

Note: honest and trust!
FB_IMG_1675930391104.jpg
 
Mkuu Mimi naona Maisha ya Mtu kukaa single bila Attachment na Mwanamke ni mazuri Sana

Kula vizuri
Lala vizuri
Sali Sana
Kataa ndoa
Tafuta pesa kwa ajili yako na wazazi na wasiojiweza huu mradi wa Ndoa unawafaidisha wanawake tu.
Unasaidia wazazi kwakua ulizaliwa nao ,wakakukuza kimadili.

Wewe kukataa Ndoa umejifunza kwa nani?na kizazi chako kitakuwa kizazi gani

Ukisikia ukoo wa fulani inamaana ulianza kama familia
 
@ASIWAJU kwa mtazamo wa haraka hakuna tatizo kabisa mtu asipooa au kuolewa.. Lakini huu ni mtazamo wa ujanani unapokuwa damu inachemka na una nguvu ya kufanya karibu kila kitu mwenyewe na huna changamoto yoyote ya maisha
Kwanza kabisa huu mtazamo wako hauna ukweli.
Swali la pili ndoa si suala la lazima au hiari bali ni uamuzi binafsi
Sawa
Umuhimu wa ndoa huonekana nyakati za shida kubwa, upweke changamoto za kimaisha, magonjwa na uzee.. Kuna mahali unafika unahitaji wa kukuhudumia na kukusaidia maana hujiwezi tena! Huyo hawezi kuwa mzazi ndu
Huu ni kwa mtazamo wa wote wawili kuwa hai mpaka huo umri.

Vipi kwa ambao mmoja wao amefariki toka kitambo, mtazamo wako ni upi ?
Kuna nyakati unamhitaji mtu wa kukaa naye na kumweleza hisia zako, maumivu yako furaha yako maono yako nk
Sio kweli, unapaswa kufahamu duniani watu hatu fanani tabia wala sifa. Hivyo sio kila mtu ana muhitaji mtu wa kumuelezea hayo masuala yake binafsi especially mwanamke.
 
Katikati ya hali zote hizi na nyinginezo mtu huyo si mwingine bali ni mke au mume
Kwanza kabisa mshana unapaswa kufahamu sio kila mtu ana muhitaji mwanamke au mwanaume katika maisha yake kama mume au mke, kama mpenzi au rafiki. Ndio maana kuna kundi la maseja hapa duniani.

Kasome sifa za maseja chunguza mienendo na tabia zao, kasome maseja wote wa kidini na wasio wa kidini.

Mimi binafsi sipendi mazoea ya hovyo hovyo na wanawake kwa sababu hakuna kitu kipya na bora atakacho ni offer katika maisha yangu. Hivyo kwangu wanawake wapo mbali sana na mimi.
 
Vizuri kama umekuja kwenye maandiko, naomba unipe mstari japo mmoja tu kwenye biblia ambao Mungu alisema amemruhusu mwanaume kuchepuka au kuoa wake wengi, usinipe mifano ya manabii ambao walifanya hivyo kwa matakwa yao binafsi nataka agizo lililotoka kwa Mungu mwenyewe
Kwenye imani ya kikristo hiyo haipo ila kwenye imaani ya kislam ipo na tamaduni za kiafrika zinatambua ndoa za mke zaidi ya m'moja sio jambo la ajabu.

So ukisema nikujibu hapa nitakujibu kwa muktadha wa mila na desturi zetu waafrika ila imani tutavutana sababu zimetokea magharibi na uarabuni.
 
Kwanza kabisa huu mtazamo wako hauna ukweli.

Sawa

Huu ni kwa mtazamo wa wote wawili kuwa hai mpaka huo umri.

Vipi kwa ambao mmoja wao amefariki toka kitambo, mtazamo wako ni upi ?

Sio kweli, unapaswa kufahamu duniani watu hatu fanani tabia wala sifa. Hivyo sio kila mtu ana muhitaji mtu wa kumuelezea hayo masuala yake binafsi especially mwanamke.
Nimetimiza wajibu wangu wa kukujibu kadiri ya mtazamo na ufahamu wangu .. Sasa kama huridhiki na majibu yangu kwako hilo ni jambo lingine sasa
 
Unajaribu kutumia logic kwa mtu anayetumia hisia..

Kaka hapo utateseka sana toka lini mwanamke akawa na uwezo wa ku reasoning mambo...

We unadhani Babu zako walipokuwa wanafanya vikao wanakutana wanaume tupu halafu wake zao wanapikisha chakula jikoni walikuwa wajinga???Wazee wako walijua hamna wazo la maana litatoka kwa mwanamke na likitoka kabahatisha au anashinda sana na wanaume ameanza na yeye kutumia logic sio hisia...

Umeongea vitu vya msingi sana ila umesahau unabishana na mwanamke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hapo sana sana ataku gaslighting au kuku manipulate kwamba unamtazamo wa ajabu ila kujibu hoja ndo hilo halipo.

Pole endelea anaweza kukuelewa japo ht asimilia 20%

Tuwavumilie ni madhaifu ya kijinsia hayo...
[emoji23][emoji23][emoji23]dah kweli mwanangu. Mwanamke kila kitu kwake ni hisia hakunaga logic. Mimi ndio maana huwa sitakagi kushauriana na mwanamke kwenye mambo sensitive. Nafanya maamuzi yeye atafuata maana ukianza kumshirika dishi linahama, anaacha kuleta hoja za kukusapoti unalofanya anaanza kukuletea hoja za kufilisi nguvu ya akili yako kwa kulazimisha ufuate hisia zake zinataka nini mimi huo upuuzi huwa sifanyi, kama atanuna anune au kama atagoma agome naweza kwenda mbele na ratiba zangu kwa lazima hata kama hayupo.
 
Kwanza kabisa mshana unapaswa kufahamu sio kila mtu ana muhitaji mwanamke au mwanaume katika maisha yake kama mume au mke, kama mpenzi au rafiki. Ndio maana kuna kundi la maseja hapa duniani.

Kasome sifa za maseja chunguza mienendo na tabia zao, kasome maseja wote wa kidini na wasio wa kidini.

Mimi binafsi sipendi mazoea ya hovyo hovyo na wanawake kwa sababu hakuna kitu kipya na bora atakacho ni offer katika maisha yangu. Hivyo kwangu wanawake wapo mbali sana na mimi.
Mimi binafsi sipendi mazoea ya hovyo hovyo na wanawake kwa sababu hakuna kitu kipya na bora atakacho ni offer katika maisha yangu. Hivyo kwangu wanawake wapo mbali sana na mimi.[emoji3064][emoji848]
Hapa kuna tatizo na hili ni ulemavu wa kihulka na maono
Kuhusu waseja na maisha ya useja nayafahamu kwa undani wake hayo mawili kwakuwa nimeishi hayo maisha kwa miaka 7 hivi nikiwa chuo cha Kibudha na baadae kuhudumu kama novice monk
 
Kituo kinacho fuata naona kitakuwa ndoa za mikataba.
View attachment 2511222
Itafikia kipindi kuoa kutaonekana ni jambo la kishujaa.
Hapa lazima waufyate. Maana anajua akileta ufala jamaa anapiga chini. Ila mimi siwezi fanya huu upuuzi wa mikataba.

Mtu ambaye ana mapenzi ya ukweli njoo tuishi unakwama wapi. Ukibehave tutaishi tu vema.
 
Ndio tuelekeapo huko,watu wamekuwa wabinafsi, hawana utu wanajali vitu, maadili yenyewe na miiko yetu hatuifuati ,Jando na unyago tunaona vimepitwa na wakati, hofu ya Mungu hatuna, haki sawa na 50/50 vimetawala,nyumba inakuwa kama bwawa la kambale mtoto ndevu,mama ndevu ,baba ndevu matokeo yake nyumba inakosa utii............... yaani daaah kuna mambo mengi sana yana changia kuiharibu taasisi hii ya ndoa.

Single parenting inakua kwa speed ya light, matokeo yake watoto wanao lelewa na mzazi mmoja mara nyingi hawaji kuwa mabalozi wazuri wa ndoa.
 
Mimi binafsi sipendi mazoea ya hovyo hovyo na wanawake kwa sababu hakuna kitu kipya na bora atakacho ni offer katika maisha yangu. Hivyo kwangu wanawake wapo mbali sana na mimi.[emoji3064][emoji848]
Hapa kuna tatizo na hili ni ulemavu wa kihulka na maono
Kuhusu waseja na maisha ya useja nayafahamu kwa undani wake hayo mawili kwakuwa nimeishi hayo maisha kwa miaka 7 hivi nikiwa chuo cha Kibudha na baadae kuhudumu kama novice monk
Mkuu kama kwako wanawake wana nafasi kubwa sana katika maisha yako haimaanishi kila mwanaume ana wachukulia wanawake hivyo.

Soma sifa mbalimbali za makundi mbalimbali ya watu.
 
Nimetimiza wajibu wangu wa kukujibu kadiri ya mtazamo na ufahamu wangu .. Sasa kama huridhiki na majibu yangu kwako hilo ni jambo lingine sasa
Sio kwamba si ridhiki na majawabu yako bali ni kuwa majawabu yako hayapo sahihi kuhusu aina ya sisi watu.
 
Back
Top Bottom