Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Shukrani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaAsilimia kubwa ya uliyosema hapo hayafanyi kazi huku Africa. Home tulipigwa sana na wazazi, ila now tunaishi vizuri na tumenyooka.
Hizo rules zinafanya kazi ulaya na america huko.
😂😂😂😂😂Mbwa wewe!! Mama kamtukana mwanae! Nikadakia, habari "mama mbwa " akaja juu mwisho nikamshinda kwa hoja. Acheni hizo!!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hapo Mimi nimeshangaa Sana, jamaa amecopy na kupaste bila kuangalia uhalisia.Kwahiyo mtoto wako unamruhusu aongee na watu asiowajua? Kuna matukio mengi sana ya watoto kutekwa, kubakwa na kulawitiwa kua makini jamaa.