Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Nov 18, 2020 #41 Shukrani mkuu
sinyora JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 970 Reaction score 1,638 Nov 18, 2020 #42 Analyse said: Asilimia kubwa ya uliyosema hapo hayafanyi kazi huku Africa. Home tulipigwa sana na wazazi, ila now tunaishi vizuri na tumenyooka. Hizo rules zinafanya kazi ulaya na america huko. Click to expand... kabisa
Analyse said: Asilimia kubwa ya uliyosema hapo hayafanyi kazi huku Africa. Home tulipigwa sana na wazazi, ila now tunaishi vizuri na tumenyooka. Hizo rules zinafanya kazi ulaya na america huko. Click to expand... kabisa
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Nov 18, 2020 #43 Joseph lebai said: Mbwa wewe!! Mama kamtukana mwanae! Nikadakia, habari "mama mbwa " akaja juu mwisho nikamshinda kwa hoja. Acheni hizo!! Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app Click to expand... πππππ
Joseph lebai said: Mbwa wewe!! Mama kamtukana mwanae! Nikadakia, habari "mama mbwa " akaja juu mwisho nikamshinda kwa hoja. Acheni hizo!! Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app Click to expand... πππππ
zombi JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,618 Reaction score 1,338 Nov 18, 2020 #44 Lyamber said: Kwahiyo mtoto wako unamruhusu aongee na watu asiowajua? Kuna matukio mengi sana ya watoto kutekwa, kubakwa na kulawitiwa kua makini jamaa. Click to expand... Hapo Mimi nimeshangaa Sana, jamaa amecopy na kupaste bila kuangalia uhalisia.
Lyamber said: Kwahiyo mtoto wako unamruhusu aongee na watu asiowajua? Kuna matukio mengi sana ya watoto kutekwa, kubakwa na kulawitiwa kua makini jamaa. Click to expand... Hapo Mimi nimeshangaa Sana, jamaa amecopy na kupaste bila kuangalia uhalisia.