Malezi: Mnaotumia condom wasaidieni wanaopaswa kutumia P2 kesho msikose watoto

Malezi: Mnaotumia condom wasaidieni wanaopaswa kutumia P2 kesho msikose watoto

Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama.
Kuna wanaolalamika hospital kuwa condom zinawawasha vibaya sana wanaota fungus na wengine wanashindwa kujizuia kujikuna wakiwa kwenye daladala kutokana na muwasho mkali unaotokana na matumizi ya mipira, napendekeza jambo hili lifanyiwe utafiti na kutafutiwa ufumbuzi kwa sababu huenda watu wanakwepa condomkwasababu ya madhira wanayopitia
 
Binti anaanza kuliwa akiwa na miaka 14 halafu anakuja kuolewa akiwa na miaka 25, miaka yote 11 anabutuliwa tu na wahuni kitaani, amemeza p2 za kutosha. Hivi binti wa hivi anastahili kweli kutolewa hata hiyo mahari?

Tumezaliwa wakati mbaya sana[emoji852]
Unatoa tu ila ww mwanaume ndio unawapangia kuwa mahari ikizid kiasi hiki sitoi
 
Shida ni elimu nusu nusu inayotolewa kwa mabinti juu ya matumizi ya hizo dawa. % kubwa wa mabinti hawajui matumizi sahh ya hizo dawa, mfano wengi wao awajui kwa mwaka inatakiwa usizitumie zaidi ya mara ngapi, wao wanameza tu kama panado
 
Serekali kunusuru hiki kizazi nashauri wasitishe matumizi ya P2 katika Taifa letu hii ndio njia mbadala ili turudi kwenye uadilifu
Yoteyote ni mitihani tu, wakiendelea kutumia hizo P2 ni mtihani, zikipigwa marufuku pia ni mtihani maana tunarudi kulekule kwenye kuokota vichanga vimetupwa kwenye shimo la choo, huku masingle mother kila siku tunawananga, huku kina baba tunalalamika hatuwezi kula pipi na maganda yake.
Vijana sasa hivi ni kama vile wamecharuka kwenye suala nzima la kipigana miti, yaani sio wa kike wala wa kiume ni mwendo wa kukitombesher utafikiri wapo kwenye mashindano.
 
Binti anaanza kuliwa akiwa na miaka 14 halafu anakuja kuolewa akiwa na miaka 25, miaka yote 11 anabutuliwa tu na wahuni kitaani, amemeza p2 za kutosha. Hivi binti wa hivi anastahili kweli kutolewa hata hiyo mahari?

Tumezaliwa wakati mbaya sana[emoji852]
ndomana sikuhizi mahari haina usumbufu na ni elw kidogo tu tena unaeza usiimalizie
 
Sidhani kama haipo itakuwepo ila bei ndiyo tatizo, utakuta pakti inauzwa shs 14,000/= zile zenu pakti shs 100/=

Watuletee bhana! Ila siyo haya matakataka wanayo tuuzia sasa! Kama yale ya Msd ndiyo kabisaaa! Hakuna ladha hata kidogo! Mwisho wa siku unashangaa tu umeuza mechi.

Baada ya wazungu wote kuisha kutoka, unaanza kujilaumu na kujuta! 😫
 
Siyo wakuletee mkuu, nenda duka la dawa tena siyo maduka yale ya mtaani kwenu huko yasiyo na leseni, namaanisha kuna duka la dawa baridi na Pharmacy sasa nenda Pharmacy utazikuta.
 
Siyo wakuletee mkuu, nenda duka la dawa tena siyo maduka yale ya mtaani kwenu huko yasiyo na leseni, namaanisha kuna duka la dawa baridi na Pharmacy sasa nenda Pharmacy utazikuta.

Zinaitwaje hizo? Maana hii mipira isiyo na viwango inachangia sana watu kuuza mechi.
 
Mweh! [emoji848]
Usishangae!
Ukosefu wa Kinga mwilini unaweza kusababishwa na vitu vipi Kama stress, kutokula vizuri nk... Hivyo inaweza kuboreshwa kwa kura vyakula vizuri na kufanya mazoezi...

Ukimwi Ni Imani tu, pia Ni ugonjwa wa biashara! Unaambiwa mpaka leo, Hakuna aliewai kukiona kirusi Cha ukimwi.
 
Kula kavu kijana hakuna wakukuzuia
Vvu hakuna
 
tatizo hizi dawa zinapatikana kiholela,kikanuni hizi dawa ni prescription only medicine.
Mamlaka ziamke sasa,dawa hizi zinapatikana mpaka kwenye maduka ya dawa baridi wakati hazitakiwi kuepo huko.
kwa pharmacy zilizoruhusiwa kuuza hizi dawa,mamlaka ziende kuona kama zinatolewa kwa prescription toka kwa wataalamu.
 
Kwaiyo unataka kusema kuwa tukimaliza minyanduano tuwe tunaenda kwa doctor kuandikiwa kadi ili tununue P2?
 
Back
Top Bottom