Yaani serikali ikithubutu kufanya hivi na watu siku hizi wanavyopenda kupiga kavu, ndani ya miaka miwili population ya Tanzania itaipiku China.Serekali kunusuru hiki kizazi nashauri wasitishe matumizi ya P2 katika Taifa letu hii ndio njia mbadala ili turudi kwenye uadilifu
Kuna wanaolalamika hospital kuwa condom zinawawasha vibaya sana wanaota fungus na wengine wanashindwa kujizuia kujikuna wakiwa kwenye daladala kutokana na muwasho mkali unaotokana na matumizi ya mipira, napendekeza jambo hili lifanyiwe utafiti na kutafutiwa ufumbuzi kwa sababu huenda watu wanakwepa condomkwasababu ya madhira wanayopitiaKununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama.
Unatoa tu ila ww mwanaume ndio unawapangia kuwa mahari ikizid kiasi hiki sitoiBinti anaanza kuliwa akiwa na miaka 14 halafu anakuja kuolewa akiwa na miaka 25, miaka yote 11 anabutuliwa tu na wahuni kitaani, amemeza p2 za kutosha. Hivi binti wa hivi anastahili kweli kutolewa hata hiyo mahari?
Tumezaliwa wakati mbaya sana[emoji852]
Yoteyote ni mitihani tu, wakiendelea kutumia hizo P2 ni mtihani, zikipigwa marufuku pia ni mtihani maana tunarudi kulekule kwenye kuokota vichanga vimetupwa kwenye shimo la choo, huku masingle mother kila siku tunawananga, huku kina baba tunalalamika hatuwezi kula pipi na maganda yake.Serekali kunusuru hiki kizazi nashauri wasitishe matumizi ya P2 katika Taifa letu hii ndio njia mbadala ili turudi kwenye uadilifu
Sidhani kama haipo itakuwepo ila bei ndiyo tatizo, utakuta pakti inauzwa shs 14,000/= zile zenu pakti shs 100/=Hivi ndiyo kusema hakuna kabisa mipira ambayo ni laini kuliko hii iliyo jazana madukani?
ndomana sikuhizi mahari haina usumbufu na ni elw kidogo tu tena unaeza usiimalizieBinti anaanza kuliwa akiwa na miaka 14 halafu anakuja kuolewa akiwa na miaka 25, miaka yote 11 anabutuliwa tu na wahuni kitaani, amemeza p2 za kutosha. Hivi binti wa hivi anastahili kweli kutolewa hata hiyo mahari?
Tumezaliwa wakati mbaya sana[emoji852]
Sidhani kama haipo itakuwepo ila bei ndiyo tatizo, utakuta pakti inauzwa shs 14,000/= zile zenu pakti shs 100/=
Siyo wakuletee mkuu, nenda duka la dawa tena siyo maduka yale ya mtaani kwenu huko yasiyo na leseni, namaanisha kuna duka la dawa baridi na Pharmacy sasa nenda Pharmacy utazikuta.Watuletee bhana! Ila siyo haya matakataka wanayo tuuzia sasa! Kama yale ya Msd ndiyo kabisaaa! Hakuna ladha hata kidogo! Mwisho wa siku unashangaa tu umeuza mechi.
Baada ya wazungu wote kuisha kutoka, unaanza kujilaumu na kujuta! 😫
Siyo wakuletee mkuu, nenda duka la dawa tena siyo maduka yale ya mtaani kwenu huko yasiyo na leseni, namaanisha kuna duka la dawa baridi na Pharmacy sasa nenda Pharmacy utazikuta.
Hakuna vvu kwenye hii Dunia!
Virus gani havijulikani????
Upungufu wa Kinga mwilini sio ugonjwa...
Usishangae!Mweh! [emoji848]
Nenda pharmacy uliza.Zinaitwaje hizo? Maana hii mipira isiyo na viwango inachangia sana watu kuuza mechi.
Kula kavu kijana hakuna wakukuzuiaUsishangae!
Ukosefu wa Kinga mwilini unaweza kusababishwa na vitu vipi Kama stress, kutokula vizuri nk... Hivyo inaweza kuboreshwa kwa kura vyakula vizuri na kufanya mazoezi...
Ukimwi Ni Imani tu, pia Ni ugonjwa wa biashara! Unaambiwa mpaka leo, Hakuna aliewai kukiona kirusi Cha ukimwi.
Test brand inaitwa Wet n Wild ziko poa sana.Zinaitwaje hizo? Maana hii mipira isiyo na viwango inachangia sana watu kuuza mechi.
tatizo hizi dawa zinapatikana kiholela,kikanuni hizi dawa ni prescription only medicine.
Mamlaka ziamke sasa,dawa hizi zinapatikana mpaka kwenye maduka ya dawa baridi wakati hazitakiwi kuepo huko.
kwa pharmacy zilizoruhusiwa kuuza hizi dawa,mamlaka ziende kuona kama zinatolewa kwa prescription toka kwa wataalamu.