Malezi...Step Parenting.

Na ile ya kichina je, ambayo unaangalia age ya mke na siku za kukutana kuna wifi yangu katumia kupata watoto wake kwa jinsia anayotaka, umeshaisikia?
 
Na ile ya kichina je, ambayo unaangalia age ya mke na siku za kukutana kuna wifi yangu katumia kupata watoto wake kwa jinsia anayotaka, umeshaisikia?
BB hapana mydia sijaisikia hiyo hebu nambie ikoje?
 
<br />
<br />
nafikiria wanaume wanakosea sana wanapoficha watoto waliozaa.
Wawe wakweli maana wanapoficha wanaonesha hawapo proud na watoto wao kwahyo ni ngumu hata kwa mama mpya kumpenda mtoto labda awe na roho ya tofauti kama yako.
Mwanamke anapogundua mtoto wa nje wakati mwanaume alimficha hupata hasira na inakuwa rahisi kujenga chuki kwa mtoto.
Kuna rafiki yangu aligundua mpenzi wake ana watoto wawili. Alipogundua mtoto wa kwanza alikuwa mwepesi kusamehe maana mtoto alizaliwa kabla hawajaanza mahusiano. Mtoto wa pili alikuwa amezaliwa wakati tayari wapo kwenye mahusiano. Ilikuwa ngumu kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…