Malezi ya mzazi mmoja ni magumu sana, wahenga walilitambua hili

Malezi ya mzazi mmoja ni magumu sana, wahenga walilitambua hili

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Wahenga walitambua ugumu wa familia kukosa mzazi mmoja. Ukifiwa na mke unatafutiwa mke wa kuoa ma ukifiwa na mume unatafutiwa ndugu wa mume akiongea. Sababu kubwa ilikua watoto wa marehemu wasipate tabu pia kuwe na mtu wa kuwafunza nidhamu na maadili katika jamii. Sababu jamii ikikua inaishi pamoja, haikua rahisi kwa mama wa kambo kuchukia watoto wa mume wake. Akifanya hivyo wazee wanamuonya.

Ulaya binti aliye pata mimba kabla ya ndoa alimtoa mtoto kwa wanandoa watakaompa mtoto malezi bora na yeye alikaa kanisani na watawa mpaka atakapo pata mume wa kumuoa.

Baada ya vita na wanaume wengi kufia vitani. Ulaya walipitisha muswaada wa sheria wa kumsaidia kwa fedha mzazi mmoja. Hapa ndipo mwanzo wa jamii kubadilisha. Siku hizi ni kawaida kuona mtu ana zaa pasi kuolewa au kuoa tena si kwa bahati mbaya
 
Wanawake wengi sahv wanaamin kuwa na uwezo wa kifedha bas inatosha haina aja ya mtoto kuwa na malezi ya baba tena
 
Hakuna wakati mbaya mama wa kambo walivotesa watoto wa waume zao kama kipindi hicho!!!

Kwa sasa jambo limepungua sana
 
Back
Top Bottom