Malezi ya watoto sikuizi mabaya sana

Malezi ya watoto sikuizi mabaya sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
hellow weekend

SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua majina ya wazazi wangu pia mtu maarufu pale mtaani najua

Sikuizi watoto wanaenda shule wanapelekwa na kurudishwa unakuta mtoto yupo la kwaza ila mtaa anaoishi hapajui wala mama yake hamjui jina wala sehemu maarufu kwa hapo mtaani hapajui (landmark)

Mwingine darasa la sita huwezi mtuma mtoto sokoni wala sehemu yoyote aende qewe upumzike badala yake wewe ndio unaenda umetoka kazini umechoka watoto wapo nyumban wamekaa tu ni malezi mabaya sana

Mfano juzi nilikuwa nimemtembelea my friend kufika home akawa amesahau kununua vitu vyake vya muhimu vya ndani akachoma mafuta kutoka kisongo mpaka majengo wakati amerudi kumuuliza kwanini usingemtuma mtoto ndio anasema hapajui mjini nikamuuliza atapajua lini? Mbna kama mnaendekeza uzungu



Inasikitisha sana
 
Mi naona kila mzazi alee mtoto wake vile anataka yeye. Mtoto pia ukimpa sana uhuru wa kuwa anatoka mwenyewe bila mtu yoyote sio jambo jema kwa kwel. Dunia ya sasa imeharibika asee, watoto wanawindwa sana siku hizi.
 
Zamani socialisation ilikuwa kubwa kwa watoto hapakuwa na school bus kwanza,walijichanganya na kuulizana walisimuliana walikula ice icecrem chini ya miti kwa vikundi...ss hivi wanakutana kwa buss asbh kila mmoja ashapiga tea home wanapata breakfast na lunch shuleni kwa dkk tano darasani kwa school buss home imeisha hiyo..kila mmoja anamind business zake atamjua mtu maaruffu sa ngapi ..
 
Tunapenda kuishi kama zamani ila hali ya hewa sio rafiki.
 
Back
Top Bottom