Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

Watoto wa siku hizi kama linadekezwa na wazazi wake usiliguse wewe rekebisha mwanao...ili anaposifiwa mwanao mbele yao wapate funzo...

Usije ukapata kesi bure...mimi nimekoma kwakwel...
Mimi wakwangu wamwenzangu wakifanya kosa wote wanapata wanachokistahili

Juzi nimepata kesi ya kuvitandika vitoto vilikua vinabakana..naona tukio ilo niliache kisa sio vitoto vyangu.?!! Hakuna kitu kama icho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aonje alipotokea ila jamani eeeh haya tukisema tutaambiwa sababu hatujazaa hatujui uchungu
Hata ukija kujaaliwa kuzaa usiwadekeze watoto kupita kiasi wakatoka nje ya maadili. Saa zingine hata ushoga kwa vijana huzalishwa na malezi ya aina hii
 
Hii mada tam sana matoto hayasikii mi kuna mmoja niliwah mkataza kitu akanijibu unanikataza kwani lazima af yuko na vitoto vyenzake nika kaa kimya maana niliudhika sana aisee wazazi wa kike wanaharibu sana watoto
Maisha yanakwenda kasi sana na jamii inabadilika kwa speed sana, Mungu At
Mungu aniepushie mbali.... Wanangu watalelewa kwa maadili inshaallah
Kila la heri na Mungu Akutangulie
 
Hata ukija kujaaliwa kuzaa usiwadekeze watoto kupita kiasi wakatoka nje ya maadili. Saa zingine hata ushoga kwa vijana huzalishwa na malezi ya aina hii
Kuna dogo mmoja Tangibovu alikuwa anadekezwa na baba yake, jamaa ukimzingua mwanae anakuja na panga kumuadabisha mpiga mwanae. Dogo kakua, mama na baba hawana maelewano mazuri, mwisho wa siku yule dogo kakua kawa choko. Anataka starehe pesa ya starehe hana mwishowe anafukunyuliwa
 
Ndio matokeo yake hayo sasa! Mwisho wa siku yanabaki majuto kwa wazazi wakati imeshakua too late
 
wewe kwa hii comment unaonekana tayari huko manipulated na huyo mwanamke uliyenaye. Jukumu lake kuu amekukabidhi wewe na umelipokea kwa mikono miwili.
 
Wanawake hawa wanapenda sana kukimbia kuwajibika kwa mambo ambayo ni wazi kabisa ni juu yao...

Huyo dada umuulize...sawa malezi ni kwa baba...tuzae alafu nimchukue mwanangu akiwa mdogo nikamlee mwenyewe...utajisikiaje...?
Hawajui waliwazalo naona wanapayuka tu.
 
asante sana kwa kumpa darasa huyo jamaa. Anasema eti ananifundisha sasa sijui ananifundisha na Mimi nianze kuplay roles za ubaba-mama kama ambavyo yeye anafanya baada ya kuwa manipulated na mkewe.
 
asante sana kwa kumpa darasa huyo jamaa. Anasema eti ananifundisha sasa sijui ananifundisha na Mimi nianze kuplay roles za ubaba-mama kama ambavyo yeye anafanya baada ya kuwa manipulated na mkewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Msamehe bure amesahau Ile kauli ya "asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…