Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
Mungu wa waisrael hawa wanaoua watoto wa kipalestina ? Au unazungumzia waisraeli wapi?EBO Mungu wa Israeli ameingiaje hapa? ? ?
Ukiona unamuwaza Mungu wa Israeli halafu unawaza hela, si Mungu wa Israeli huyo! ! ! Huyo ni mwinignie uliyeingizwa kingi na false prosperity preachers.
Sema nini, ana namna yake tu ya kuku bless when you least expect it, when it's the last thing you think about! ASIFIWE SANA MUNGU WA ISRAELI, MUUMBA WA MBINGU NA NCHI. OUR GOD IS AN AWSOME GOD!
Myahudi wa kweli, Muisraeli wa kweli ni yule aliyemkubali YESU.Mungu wa waisrael hawa wanaoua watoto wa kipalestina ? Au unazungumzia waisraeli wapi?
Nimekutapeli kitu gani? Weka ushahidi wa utapeli wangu hapa🔥🔥
Tapeli huyu wa kujificha jificha
Meditation inakupa utulivu wa akili , na katika utulivu unaweza pangilia mambo yako yakaenda sawa.Meditation usiikate: Matajiri bongo zao zinaenda nyumba na mbele, wanawaza na kuwazua, wanahama fikra kabisa, wanahitaji utulivu.Huwezi pata clarity na idea kama huwezi reconcile na kuruhusu kichwa kikatafuta chenyewe basing na experience,facts etc...
Leo Mungu wa Israel mwenye upendo wote na mueza wa yote , hafai tena? Huwa mnajitekenya na kucheka mwenyewe
Kuna watu bado wana amini katika kuroga ndio wafanye biasharaHistoria za jamii zilizo na legacy ya utajiri au mafaniko makubwa ya kifedha na mali zisizohamishika imetokana na wao kuwa aggressive katika kushinda ushindani, kuchukua kwa nguvu kwa wale walio wadhaifu, kuchakata fikra ya kushinda uzalishaji duni, kuwahi rasilimali ambazo hazijafanikiwa kufikiwa, kunyonya wale ambao bado hawashtuka na kurithisha ulivyopata kwa wale watakaomfata.
Kwa hio rasilmali hutengeneza mali, mali hutengeneza pesa, pesa hutengeneza utajiri.
Tofauti na hapo utamlaumu Mungu sana kwa nini hajibu maombi yako.
Utajichukia kwa kujiita mwenye mikosi.
Utaumia kwa kuchukia walio kuzidi.
Utawehuka ukitafuta elimu za giza za kufikirika
WEALTH CREATES WEALTH
Na kweli kabisa bila mental clarity hutoboi wengi wao utasikia aliwikawika akapotea pesa alikuwa nayo ni nyingi kuzalisha ,connection ya maana bila hata yeye kuingiza pesa yake advance anapata faida credibility usiseme anakuja angushwa na vitu vidogo mental clarity ni muhimu watu hawaelewi tu.....Meditation inakupa utulivu wa akili , na katika utulivu unaweza pangilia mambo yako yakaenda sawa.
Kabisa , na vijana wengi wana matatizo ya akili , kutokana na ukali wa maisha , na mitindo ya maisha hasa ya mitandao ya kijamii, hivyo meditation ilipaswa iwe soma la msingi tokea vidudu kabisa , now kuna taka taka nyingi zinazolipua kichwa.Na kweli kabisa bila mental clarity hutoboi wengi wao utasikia aliwikawika akapotea pesa alikuwa nayo ni nyingi kuzalisha ,connection ya maana bila hata yeye kuingiza pesa yake advance anapata faida Ila sasa mental clarity ni muhimu watu hawaelewi tu
Kabisa afya ya akili ndo ugonjwa unaosumbua wengi wetu Ila sababu hata viongozi bado hawajajali mstakabali wa taifa tunawaza kuvuruga vijana akili kwa kuwa tablet kwanzia utotoni tukiona ni fahari kumbe tunazidi wakoroga mchawi ni kitu kidogo tu tahajudi bila kuona haya tutaendelea kuwa wakutangatanga na kuonewa badala ya kuonaKabisa , na vijana wengi wana matatizo ya akili , kutokana na ukali wa maisha , na mitindo ya maisha hasa ya mitandao ya kijamii, hivyo meditation ilipaswa iwe soma la msingi tokea vidudu kabisa , now kuna taka taka nyingi zinazolipua kichwa.
Kwahiyo alitakiwa afanyaje?Ila waganga wa uongo, mtu anakupa ya pesa wakati wanaomzunguka majirani zake wanakula mlo mmoja kwa siku 🤣🤣🤣
Ushaona mfanyabiashara tajiri anaeleza hatua kwa hatua jinsi alivyoanza biashara hadi kutajirika katika maelezo yenye kueleweka kwa hapa afrika?Kuna watu bado wana amini katika kuroga ndio wafanye biashara
Mi ninaamini ukitaka kuwa na Tajiri mkubwa you have to bend some laws ila hapo kwenye uchawi bado sijajua mechanism yake inakuaje, wakati naanza biashara nilipata sana suggestions za waganga kila anaekuja anasema lake na mimi nikakaza tu nione itakuaje kumbe uchawi ni management tuUshaona mfanyabiashara tajiri anaeleza hatua kwa hatua jinsi alivyoanza biashara hadi kutajirika katika maelezo yenye kueleweka kwa hapa afrika?
Watu ni juhudi zao zinawabeba ila kwa kuwa alienda kwa mganga atajua ni uchawi umemkomboa.Mi ninaamini ukitaka kuwa na Tajiri mkubwa you have to bend some laws ila hapo kwenye uchawi bado sijajua mechanism yake inakuaje, wakati naanza biashara nilipata sana suggestions za waganga kila anaekuja anasema lake na mimi nikakaza tu nione itakuaje kumbe uchawi ni management tu
Ni suala la kila mtu anavyoamini kwa sababu kwenye haya masuala watu wanapitia experience tofauti hakuna formula moja, unakuta njia aliyopita A na hadi kufanikiwa B alipita na hakufanikiwa ila alipofanikiwa B huko C hakuweza kufanikiwa.Mi ninaamini ukitaka kuwa na Tajiri mkubwa you have to bend some laws ila hapo kwenye uchawi bado sijajua mechanism yake inakuaje, wakati naanza biashara nilipata sana suggestions za waganga kila anaekuja anasema lake na mimi nikakaza tu nione itakuaje kumbe uchawi ni management tu