Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

Mkuu bado hujazeeka alafu mwanao yule jembe kabisa akakataa chochote kutoka kwako. Utafadhaika sana Mkuu. Sahivi unaweza ukachukulia poa ila sio poa kabisa.

Unajua kwenye urithi wa mali huwa kuna dhamira inafatana na hiyo mali. Unaweza rithi mali ila ikawa n mfano tu wa baraka ulizorithishwa na huyo marehemu. Kwa hiyo tambua urithi wa mali unakuja na baraka/heri kutoka kwa mgawa urithi

Kukataa urithi ni sawa na kukataa baraka na heri utakiwazo na marehemu. Ikiwa wewe unambariki mwanao alafu mwanao anakuamba sitaki hizo baraka na heri zako aise, usipomlaani basi utakufa na kinyongo kibaya.

Watu wengi wanafikiri ukirithi mali basi umerithi hiyo mali tu, jibu ni hapana ukirithi mali unarithi na baraka, heri na hata laana zake pia kama zipo.

Kuna mdau leoleo-tu amesema urithi unaaeza ukawa mzigo ni kweli na hiyo inatokana na mambo mengi sana
 
Duuh umeandika kitu kipya hapa, nitafikiria.
 
Bahati mbaya sipimi urithi kwenye monetary/wealth values, Kuna mdau kaongelea urithi hapo juu kwenye different angle, naweza ifikiria hiyo
 
Poa, Ndugu Yangu Uko sahihi mzee baba.
 
Asante kwa ushauri wako, naufanyia kazi.
 
Yanatuhusu nini sisi hayo mambo? Utajijua mwenyewe wala usitusumbue Sisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…