Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

Sinema inaendelea. Vp ile tenda ya Lugumi kwa polisi na uhamiaji imefikia wapi?
 
Ukitaka kumuua NYANI usimtazame USONI.
Imefika wakati sisi kama Watanzania tuunge mkono juhudi hizi za serikali katika KU RECOVER madeni ya WADAIWA SUGU.

Kwa nini tukose HUDUMA muhimu na kudumaza maendeleo kwa sababu ya WATU WACHACHE?
Imefika wakati ambapo kila mtu ABEBE msalaba wake.
Bila hivyo NCHI HAIENDI.
 
Hivi kulalamika kwetu kunazuia nini serikali kufanya kazi zake? Pili, mbona Tanzania hakuna walalamikaji! Hivi kuna wananchi wanaolalamika kama wamarekani na waingereza? Lakini nchi hizo zinasong mbele!
 
Watanzania wengi wapumbavu ukimuuliza atakuambia hakuna jema lililofanywa na serikali, hakika kuwaongoza watanzania tumia nguvu na usiwasikilize live long JPM
 

Nadhani hili ndio tatizo la kusoma kwa kukariri badala ya kuelewa.

Ukiomba tender mara nyingi yapo masharti kadhaaa ikiwemo kuwa na tax clearence.Baada ya kushinda zabuni unafanya biashahasha ambayo lazima itazalisha kodi.Sasa wewe ukfanya biashara unataka usilipe kodi au hujui maana ya tax clearence inahusu kodi za nyuma tu na si kodi za kipindi unafnaya biashahara.
 
Bilioni 14 ni nyingi sana nafikiri ata _opt zipigwe mnada maana hizo nyumba mbili hazizidi 3b...kuliko kulipa 14 bora wachukue nyumba hizo mbili.
 
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.

Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.


Hawa wapinzani sumu ya chuki ilishagawatafuna kama saratani. ndio maana mi napenda JPM anavyowaburuza kibabe, hata hata ukitenda jema hawaoni. sasa watu kama hawa unawabebaje, kung'uta kabisa maana hata ukiwatendea kistaarabu watakutukana tuu.

UKAWA wakubwa hawa..!!
 
JPM hata ampe kila Mtanzania bilioni moja ataonekana bado hafai. Nashauri afanye kazi kwa maendeleo ya Wa Tanzania mitandao ya kijamii imepoteza mwelekeo na watu hata ufanye jema lp c kla mtu atakukubal. Yesu yasemekena alikua mtakatifu the same kwa Mtume Muhammad lakn kuna walio wapnga na hadi leo kuna watu wana wapnga sn. Wanadau ndo tulvyo.
 
Ila simaanishi kua JPM ni mtakatifu noooooo n mwanadam wa kawida
 
Hawa YONO na wao lazima wachunguzwe, hivi ni wao tu ndio wanapewa kazi na TRA? Leo miaka nenda rudi, toka enzi za mkapa wao ndio madalali wa TRA, hapa kuna mkono wa mtu.
 
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.

Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
Tanzania imevamiwa na kizazi cha hovyo sana
Wao kutafuta sifa mitandaoni ndio Kitu muhimu
kuliko Uzalendo wa taifa
 
Rais anapo sema Awamu hii hakana kuangalia Sura nikweli anamaanisha hakuna kuangalia sura,
Hakuna mkubwa atakaye achwa kwa Kutofuata taratibu
 
Duuuh. Lugumi anapita katika kipindi kigumu kwelikweli. Ndio maisha hayo. Lipa kodi yetu uendelee na maisha, Kaka. Jipigepige ulipe vijisenti hivyo ili tuongezee kwenye ujenzi wa Reli. Maana hela za hadi Morogoro zipo, sasa tunatafuta za kutoka morogoro kwenda Idodomiya.
 
Watakuja tena kudai wanapinga juhudi za mh Rais jamani tuelewa mada vizuri mkuu umeelezea vyema
 
Wakati wakituaminisha kuwa tukiwakamata mafisadi wa EPA nchi italipuka kumbe nao waliona fursa ndani ya hizo harakati. Tutaongea sana mambo ya kodi, kukamata mali, mikataba nk, BUT; Lugumi ni nani na nani wako nyuma ya himaya hii!?
 
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.

Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
Mitandao ya kijamii inaonyesha baadhi ya Watanzania hata hawajui watakalo.
 
Kama na wee hujui kuwa anafanya biashara gani ýa kudaiwa ela hiyo basivnaee pia huna haja ya kulaumu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…