Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

Acha kukurupuka! Kesi ya kutolipa kodi ya bilioni 14 na kesi ya kulipwa bilioni 37 kinyemela bila kufanya kazi husika ni vitu viwili tofauti!

Hatuwezi kumpigia makofi huyo asiyejaribiwa eti anajaribu wakati ufisadi wa Lugumi na washirika wake haujaguswa na huyo anayedai anapambana na mafisadi. Sijui anapambana nao wapi hao mafisadi.

Uhusiano kati ya Lugumi, Ridhwani na Said Mwema

Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

How withdrawal of billions turned spotlight on Lugumi
Mi nazani basi waziache tu hizo bilioni 14, au vp mkuu?
 
Ndiyo tatizo lenu hilo! Mtu akihoji mambo muhimu kuhusu mustakabali wa nchi katika hii awamu basi huyo anamchumkia Magufuli! Basi wanaomchukia Magufuli wapo wengi hata ndani ya MACCM wakiwemo Mwinyi, Warioba, Kinana, Butiku na wengineo chungu nzima ambao wote hawa wamehoji utendaji wake mbovu.

Think outside the box Bro

Bro. You naturally hate JPM. And I believe this man WILL NEVER satisfy you-no matter what. Perhaps unataka ukiamka uambiwe mafisadi wote wako Keko. Wote tungetamani hivyo unfortunately that can only happen in our imaginations!

Man up bro!
 
Inashangaza kweli kuona watu wanahusisha sakata hili la kutolipa kodi ya bilioni 14 na ufisadi wa bilioni 37 vitu ambavyo havina uhusiano wowote ule!

Baba mbali mbali mama mbali mbali.

Malalamiko ya watu ni kuwa kwa Lugumi kuna jinai ya wazi kabisa lakini hajaguswa wala hakuna dalili hilolitatokea. Hili ni suala tofauti kabisa na hiyo jinai iliyofumbiwa macho.
 
Rais anapo sema Awamu hii hakana kuangalia Sura nikweli anamaanisha hakuna kuangalia sura,
Hakuna mkubwa atakaye achwa kwa Kutofuata taratibu
Afanye hivyo pia kwa manunuzi ya Dar Ferry, aliyoificha JWTZ.
 
Hizi habari za Lugumi zinastaajabisha. Kitwanga alistaafishwa kwa ulevi "bungeni" kipindi watu wanasubiri atoe maelezo ya nguvu kuhusu skandali la Lugumi. Sasa Lugumi anabanwa kwa kutolipa kodi ya bilioni 14! Ile skandali haiongelewi kabisa. Halafu, sijui lini alikadiriwa na kuagizwa kulipa kodi hiyo "akazembea" hadi mali zinakamatwa. Na tuna hakika gani kwamba "tunamdai" tu-bilioni 14 tu? Isije ikawa kaminya hiyo "kodi yetu" inayofikia bilioni 70 hivi halafu sie tunataka kumaliza soo kwa kumdai 14 tu!
 
Ha Ha Ha Ha! Ni Nchi pekee ambapo Mali ya Mwizi Inakamatwa, Mwenyewe Hakamatwi hahahahahaha
 
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.

Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
wana mapepo hao
 
Mali zake zitaachia siku sio nyingi,hauwezi kumgusa rafiki wa mkulu akakaa kimya.
 
SWALA LA LUGUMI MH! MAANDISHI MENGI YA NYUMA YALIONESHA KAZI AU TENDA NYINGI ZILIKUWA NA WALAKINI. TRA WANADAI KODI KWENYE MAPATO HARAMU? IDARA SAHIHI YA KUMSHUGHULIKIA LUGUMI NI TAKUKURU. KINYUME CHA HAPO. MH!
 
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.

Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.


Ndugu yangu - Mtu akikuchukia - hata ukimbeba Mgongoni - atasema UTI wako wa Mgongo ulikuwa unamchomoa.
 
Binadamu hatuna jema jamani. Ni humu humu JF tumeshikia bango JPM kwa kuwaogopa akina Lugumi na wenzake. Leo hii serikali inachukua hatua...kudai kodi.....wengine tunasema ni maigizo. Kiukweli sijui waTanganyika tunataka nini.

Hivi kweli TRA ni wajinga wakakamate mali zake bila sababu? kwamba hawajampelekea notice ya kulipa? Tunasahau kwamba hata hizo hela zenyewe zimetoka serikalini. Mara kibao tumeambiwa miradi fake fake ambayo Lugumi amedeal nayo..ni humu humu JF tumelia na ufisadi wa Lugumi kuliko ufisadi mwingine. Leo serikali inamdai tunasema ni maigizo? sasa tunataka hiyo serikali ifanye nini haswa? We need Governement of Jesus aiseeeee....

By the way hapa watakuja wenzangu watasema..ooohh..mbona hajakamata IPTL..MEREMETA..NK. Lakini ukweli ni kwamba huwezi peleka kila mtu mahakamani....kuna stages.....ukifanya hivyo..serikali most likely itashindwa hizo kesi....na ikishindwa tutakuja hapa hapa kusema kwamba wanasheria wa serikali walikula rushwa au ni fake! Ilmradi tuna sababu ya kuwaponda...

Of course, kama nilivyosema kwingineko mtu akikuchukia cannot see anything positive from you. Na hii ndo Changamoto ya critics wengi wa JPM. Hata angefanya nini..they will never see anything good of this Man from Chato!

JPM ana mapungufu mengi kama Kiongozi na kama binadamu. Lakini tujitahidi kuona hata yale mazuri kidogo anayoyafanya. Otherwise..tutakuwa tunalalamika tuu for the next ten years! and at the end of the day...we will have achieved one thing only. NOTHING!

Natamani JPM afanye improvement kwenye uongozi wake-and he should. Lakini kuwa critic kwa kila kitu anachofanya haisaidii kabisa.
Sina uhakika wa utakatifu walionao hao wenye kumkosoa JPM, tena kwa lugha zisizo na staha! Sina!
Mimi namwombea kwa Mwenyezi Mungu ampe nguvu na uvumilivu wakati
 
Huyu Lugumi alipewa hii tenda kama zawadi; hakuwa na vigezo vya kupewa hii tenda kubwa na nyeti kwa mustakali wa usalama wa Taifa. Kwa mtaji huo, Lugumi atakuwa na Mali yenye gharama ya b 14 ukizingatia fedha za tenda waligawana wengi? Bado naona hatua ya TRA in maigizo matupu.
Harafu kwingine TRA wakifunga au kukamata mali wa watu ukiwauliza ni kodi kiasi gani inadaiwa wanakujibu hiyo ni siri baina yao na mteja wao!! Sisi hayatuhuusu mfano walipo funga ofisi zabTFF, walisema hawawezi kutaja ni kiasi gani wanaidai TFF, Labda wao TFF ndio waseme!! Leo mbona wametaja? Hapa bwana nina wasiwasi isije ikawa ni zuga.
 
Binadamu hatuna jema jamani. Ni humu humu JF tumeshikia bango JPM kwa kuwaogopa akina Lugumi na wenzake. Leo hii serikali inachukua hatua...kudai kodi.....wengine tunasema ni maigizo. Kiukweli sijui waTanganyika tunataka nini.

Hivi kweli TRA ni wajinga wakakamate mali zake bila sababu? kwamba hawajampelekea notice ya kulipa? Tunasahau kwamba hata hizo hela zenyewe zimetoka serikalini. Mara kibao tumeambiwa miradi fake fake ambayo Lugumi amedeal nayo..ni humu humu JF tumelia na ufisadi wa Lugumi kuliko ufisadi mwingine. Leo serikali inamdai tunasema ni maigizo? sasa tunataka hiyo serikali ifanye nini haswa? We need Governement of Jesus aiseeeee....

By the way hapa watakuja wenzangu watasema..ooohh..mbona hajakamata IPTL..MEREMETA..NK. Lakini ukweli ni kwamba huwezi peleka kila mtu mahakamani....kuna stages.....ukifanya hivyo..serikali most likely itashindwa hizo kesi....na ikishindwa tutakuja hapa hapa kusema kwamba wanasheria wa serikali walikula rushwa au ni fake! Ilmradi tuna sababu ya kuwaponda...

Of course, kama nilivyosema kwingineko mtu akikuchukia cannot see anything positive from you. Na hii ndo Changamoto ya critics wengi wa JPM. Hata angefanya nini..they will never see anything good of this Man from Chato!

JPM ana mapungufu mengi kama Kiongozi na kama binadamu. Lakini tujitahidi kuona hata yale mazuri kidogo anayoyafanya. Otherwise..tutakuwa tunalalamika tuu for the next ten years! and at the end of the day...we will have achieved one thing only. NOTHING!

Natamani JPM afanye improvement kwenye uongozi wake-and he should. Lakini kuwa critic kwa kila kitu anachofanya haisaidii kabisa.

Mkuu, don't be too naïve to that extent....

Jukumu la kukusanya kodi halifanyiki kwa hisani ya Magufuli Pombe John....

Yaani, hata kama tusingekuwa na "msamiati" uitwao John Pombe Magufuli, kodi automatically ingekusanywa na kama ktk nafasi hiyo angekuwapo Joti...!!!

Kwamba, jamaa anachukiwa and whatever positive he does, the critics will never see It ??

No, once again, you are wrong....

Hakuna anayemchukia, isipokuwa wapo wanaomkosoa for their own reasons.

Na kwangu mimi, hata wafanye hivyo mpaka atakapoondoka ama kumaliza muda wake, sitaona na sioni ajabu yoyote....

Kwa nini ?

Ni kwa sababu binadamu ndivyo tulivyo, tuko tofauti, hatufanani ktk perspectives zote, kila mtu ana uhuru kuchukua side yoyote ili havunji sheria.....

Au tuambie bwana, kuwa, kuna sheria inayotaka na kulazimisha kila mtu kuwa kesho akosoe na kesho kutwa asifu kidogo especially yanayomhusu John Pombe?

Na vipi wale ambao mchana kutwa na usiku kuchwa, kazi yao ni kusifu chochote cha John Pombe ?? Hawa wao hawaoni strengths & weaknesess za huyu ndugu yetu siyo ?

Kwangu mimi, sina shida nao. Let them do again and again and forever so long as they are not breaking any law !!
 
Baada ya ripoti ya CAG kuanika madudu ya lugumi sasa wanajaribu kupunguza munkari wa walalahoi kwa kuwatengenezea filamu.
 
Hawa wapinzani sumu ya chuki ilishagawatafuna kama saratani. ndio maana mi napenda JPM anavyowaburuza kibabe, hata hata ukitenda jema hawaoni. sasa watu kama hawa unawabebaje, kung'uta kabisa maana hata ukiwatendea kistaarabu watakutukana tuu.

UKAWA wakubwa hawa..!!
Mkuu sio kila anayempinga mkulu ni upinzani/Ukawa.
Huoni kama unamsifia mkuu aendelee kuwaburuza hao unaosema wanampinga! Umechangia kwa hisia zaidi.
 
Back
Top Bottom