Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 914
Kuna majipu mengine yanahitaji tekniki kuyatumbua.
Kiongozi, umesahau kuwa watz tuna laana ya kulalamika? Nenda nyuma kipindi cha JK, angalia yale waliyokuwa wanamlalamikia, njoo leo angalia wanasema wanammiss...Binadamu hatuna jema jamani. Ni humu humu JF tumeshikia bango JPM kwa kuwaogopa akina Lugumi na wenzake. Leo hii serikali inachukua hatua...kudai kodi.....wengine tunasema ni maigizo. Kiukweli sijui waTanganyika tunataka nini.
Hivi kweli TRA ni wajinga wakakamate mali zake bila sababu? kwamba hawajampelekea notice ya kulipa? Tunasahau kwamba hata hizo hela zenyewe zimetoka serikalini. Mara kibao tumeambiwa miradi fake fake ambayo Lugumi amedeal nayo..ni humu humu JF tumelia na ufisadi wa Lugumi kuliko ufisadi mwingine. Leo serikali inamdai tunasema ni maigizo? sasa tunataka hiyo serikali ifanye nini haswa? We need Governement of Jesus aiseeeee....
By the way hapa watakuja wenzangu watasema..ooohh..mbona hajakamata IPTL..MEREMETA..NK. Lakini ukweli ni kwamba huwezi peleka kila mtu mahakamani....kuna stages.....ukifanya hivyo..serikali most likely itashindwa hizo kesi....na ikishindwa tutakuja hapa hapa kusema kwamba wanasheria wa serikali walikula rushwa au ni fake! Ilmradi tuna sababu ya kuwaponda...
Of course, kama nilivyosema kwingineko mtu akikuchukia cannot see anything positive from you. Na hii ndo Changamoto ya critics wengi wa JPM. Hata angefanya nini..they will never see anything good of this Man from Chato!
JPM ana mapungufu mengi kama Kiongozi na kama binadamu. Lakini tujitahidi kuona hata yale mazuri kidogo anayoyafanya. Otherwise..tutakuwa tunalalamika tuu for the next ten years! and at the end of the day...we will have achieved one thing only. NOTHING!
Natamani JPM afanye improvement kwenye uongozi wake-and he should. Lakini kuwa critic kwa kila kitu anachofanya haisaidii kabisa.
Kiongozi, umesahau kuwa watz tuna laana ya kulalamika? Nenda nyuma kipindi cha JK, angalia yale waliyokuwa wanamlalamikia, njoo leo angalia wanasema wanammiss...
It could be a failed state, katika muktadha wa kulalamika.
***Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.
Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
***Tanzania hamna TRA yaani Bil 14 anadaiwa mtu mmoja... TRA walikuwa wapi mda wote huo... another fake news in town
Hakuna haja ya kulalamika.Dawa ni ku-prove tu kwamba sio maigizo.Unajua,mtu akishaumwa na nyoka hata akiona mjusi anaogopa.Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.
Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
Mkuu nilivyoona story lugumi inabidi nicheke tu usanii mtupu hakuna wa kumuwajibisha Lugumi ndio maana kitwanga alijitia kimbelembele wakamla kichwa unless wanataka kodi kupitia vitenda vyake vidogo vidogo vya mambo ya ndani ambavyo ni propaganda tu but "real tender" nobody can touch Lugumi even Magu himself know that full usanii.Untouchable Said Lugumi
Hapo Serikali Ya Viwanda Ipunguze Maigizo Tumeshachoka Hilo Ni Kaburi Litamzika Mfukuaji Soon. Hapo Ukimwaga Sumu Ujue Umeiua Ccm Na Viongozi Wake Wote.
Wrongly presented. Licha ya kumpatia tenda kwa upendeleo, utawala wa JK ulikwa unaipatia misamaha kampuni ya Lugumi misaada ya kodi ambayo hakustahili (rejea CAG Report; 2017). Kwa mujibu wa CAG report ni kuwa Lugumi Enterprises haikustahili tax exemption hizo kwa hiyo TRA wamekwenda kudai kodi iliyokuwa corruptly exempted. Achana na preconceived negative sentiments.Habari wadau!
Nimesoma vichwa vya habari kwenye magazeti kuwa mali za Lugunm zakamatwa akidaiwa kodi ya zaidi ya bil 14 na TRA.
Mie naona tunapiga sarakasi huku tukiwa tumevaa taulo.
Nijuavyo mimi anapoomba tenda kaiwaida lazima awe na tax clearence toka TRA ndo upewe tenda kuashiria hudaiwi kodi ili usije tumie pesa ya mradi kulupia madeni hasa kodi na tozo mbalimbali.
Iweje leo ndani ya miaka 3 awe anadaiwa zaidi ya bilioni 14 kwa biashara ipi anayofanya huyu Lugumi.
Kumshitaki kwa kosa la ufidlsadi inaonekana kuna watu serikalini wataguswa hasa toka chama kileeee. Ili ionekane anakufa nayo kama Lugumi wamekuja na njia nyingine kuwapumbaza wananchi
Hili jipu naona liko kwenye paji la uso inamaana mtumbuaji halioni? Au kwakuwa ni kampuni toka kanda maalum
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.
Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
inamaana TRA haina mamlaka kisheria mpaka waende mahakamani au wamewehuka ghafla?Kwann usiende mahakamani kuweka zuio la mali zake iwapo hayo unayosema ni kweli? Make hata kwenye ubunge tumeona mwananchi akaenda mahakamani kupinga ubunge mfano ule wa Lema na yule mama Buriani.
Acha kukurupuka! Kesi ya kutolipa kodi ya bilioni 14 na kesi ya kulipwa bilioni 37 kinyemela bila kufanya kazi husika ni vitu viwili tofauti!
Hatuwezi kumpigia makofi huyo asiyejaribiwa eti anajaribu wakati ufisadi wa Lugumi na washirika wake haujaguswa na huyo anayedai anapambana na mafisadi. Sijui anapambana nao wapi hao mafisadi.
Uhusiano kati ya Lugumi, Ridhwani na Said Mwema
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.
Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
zikipigwa mnada hizo mbili biashara inaishia hapo?Bilioni 14 ni nyingi sana nafikiri ata _opt zipigwe mnada maana hizo nyumba mbili hazizidi 3b...kuliko kulipa 14 bora wachukue nyumba hizo mbili.