Mi nazani basi waziache tu hizo bilioni 14, au vp mkuu?Acha kukurupuka! Kesi ya kutolipa kodi ya bilioni 14 na kesi ya kulipwa bilioni 37 kinyemela bila kufanya kazi husika ni vitu viwili tofauti!
Hatuwezi kumpigia makofi huyo asiyejaribiwa eti anajaribu wakati ufisadi wa Lugumi na washirika wake haujaguswa na huyo anayedai anapambana na mafisadi. Sijui anapambana nao wapi hao mafisadi.
Uhusiano kati ya Lugumi, Ridhwani na Said Mwema
Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI
How withdrawal of billions turned spotlight on Lugumi
Bro. You naturally hate JPM. And I believe this man WILL NEVER satisfy you-no matter what. Perhaps unataka ukiamka uambiwe mafisadi wote wako Keko. Wote tungetamani hivyo unfortunately that can only happen in our imaginations!
Man up bro!
Mi nazani basi waziache tu hizo bilioni 14, au vp mkuu?
Malalamiko ya watu ni kuwa kwa Lugumi kuna jinai ya wazi kabisa lakini hajaguswa wala hakuna dalili hilolitatokea. Hili ni suala tofauti kabisa na hiyo jinai iliyofumbiwa macho.
Afanye hivyo pia kwa manunuzi ya Dar Ferry, aliyoificha JWTZ.Rais anapo sema Awamu hii hakana kuangalia Sura nikweli anamaanisha hakuna kuangalia sura,
Hakuna mkubwa atakaye achwa kwa Kutofuata taratibu
na wewe utakuwa mtu mzitoYupo bongo mkuu ni jiran yangu
wana mapepo haoWanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.
Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
Wanadamu hatuna jema. Ni humu humu JF tumemkosoa Mkulu kwa kutowachukulia hatua akina Lugumi. Now, the man is trying and here we come....eti ni maigizo.
Aise mtu akikuchukia hata ufanye nini wallah! Mbele yake utakuwa ni ziro tuu.
Sina uhakika wa utakatifu walionao hao wenye kumkosoa JPM, tena kwa lugha zisizo na staha! Sina!Binadamu hatuna jema jamani. Ni humu humu JF tumeshikia bango JPM kwa kuwaogopa akina Lugumi na wenzake. Leo hii serikali inachukua hatua...kudai kodi.....wengine tunasema ni maigizo. Kiukweli sijui waTanganyika tunataka nini.
Hivi kweli TRA ni wajinga wakakamate mali zake bila sababu? kwamba hawajampelekea notice ya kulipa? Tunasahau kwamba hata hizo hela zenyewe zimetoka serikalini. Mara kibao tumeambiwa miradi fake fake ambayo Lugumi amedeal nayo..ni humu humu JF tumelia na ufisadi wa Lugumi kuliko ufisadi mwingine. Leo serikali inamdai tunasema ni maigizo? sasa tunataka hiyo serikali ifanye nini haswa? We need Governement of Jesus aiseeeee....
By the way hapa watakuja wenzangu watasema..ooohh..mbona hajakamata IPTL..MEREMETA..NK. Lakini ukweli ni kwamba huwezi peleka kila mtu mahakamani....kuna stages.....ukifanya hivyo..serikali most likely itashindwa hizo kesi....na ikishindwa tutakuja hapa hapa kusema kwamba wanasheria wa serikali walikula rushwa au ni fake! Ilmradi tuna sababu ya kuwaponda...
Of course, kama nilivyosema kwingineko mtu akikuchukia cannot see anything positive from you. Na hii ndo Changamoto ya critics wengi wa JPM. Hata angefanya nini..they will never see anything good of this Man from Chato!
JPM ana mapungufu mengi kama Kiongozi na kama binadamu. Lakini tujitahidi kuona hata yale mazuri kidogo anayoyafanya. Otherwise..tutakuwa tunalalamika tuu for the next ten years! and at the end of the day...we will have achieved one thing only. NOTHING!
Natamani JPM afanye improvement kwenye uongozi wake-and he should. Lakini kuwa critic kwa kila kitu anachofanya haisaidii kabisa.
Harafu kwingine TRA wakifunga au kukamata mali wa watu ukiwauliza ni kodi kiasi gani inadaiwa wanakujibu hiyo ni siri baina yao na mteja wao!! Sisi hayatuhuusu mfano walipo funga ofisi zabTFF, walisema hawawezi kutaja ni kiasi gani wanaidai TFF, Labda wao TFF ndio waseme!! Leo mbona wametaja? Hapa bwana nina wasiwasi isije ikawa ni zuga.Huyu Lugumi alipewa hii tenda kama zawadi; hakuwa na vigezo vya kupewa hii tenda kubwa na nyeti kwa mustakali wa usalama wa Taifa. Kwa mtaji huo, Lugumi atakuwa na Mali yenye gharama ya b 14 ukizingatia fedha za tenda waligawana wengi? Bado naona hatua ya TRA in maigizo matupu.
Binadamu hatuna jema jamani. Ni humu humu JF tumeshikia bango JPM kwa kuwaogopa akina Lugumi na wenzake. Leo hii serikali inachukua hatua...kudai kodi.....wengine tunasema ni maigizo. Kiukweli sijui waTanganyika tunataka nini.
Hivi kweli TRA ni wajinga wakakamate mali zake bila sababu? kwamba hawajampelekea notice ya kulipa? Tunasahau kwamba hata hizo hela zenyewe zimetoka serikalini. Mara kibao tumeambiwa miradi fake fake ambayo Lugumi amedeal nayo..ni humu humu JF tumelia na ufisadi wa Lugumi kuliko ufisadi mwingine. Leo serikali inamdai tunasema ni maigizo? sasa tunataka hiyo serikali ifanye nini haswa? We need Governement of Jesus aiseeeee....
By the way hapa watakuja wenzangu watasema..ooohh..mbona hajakamata IPTL..MEREMETA..NK. Lakini ukweli ni kwamba huwezi peleka kila mtu mahakamani....kuna stages.....ukifanya hivyo..serikali most likely itashindwa hizo kesi....na ikishindwa tutakuja hapa hapa kusema kwamba wanasheria wa serikali walikula rushwa au ni fake! Ilmradi tuna sababu ya kuwaponda...
Of course, kama nilivyosema kwingineko mtu akikuchukia cannot see anything positive from you. Na hii ndo Changamoto ya critics wengi wa JPM. Hata angefanya nini..they will never see anything good of this Man from Chato!
JPM ana mapungufu mengi kama Kiongozi na kama binadamu. Lakini tujitahidi kuona hata yale mazuri kidogo anayoyafanya. Otherwise..tutakuwa tunalalamika tuu for the next ten years! and at the end of the day...we will have achieved one thing only. NOTHING!
Natamani JPM afanye improvement kwenye uongozi wake-and he should. Lakini kuwa critic kwa kila kitu anachofanya haisaidii kabisa.
Mkuu sio kila anayempinga mkulu ni upinzani/Ukawa.Hawa wapinzani sumu ya chuki ilishagawatafuna kama saratani. ndio maana mi napenda JPM anavyowaburuza kibabe, hata hata ukitenda jema hawaoni. sasa watu kama hawa unawabebaje, kung'uta kabisa maana hata ukiwatendea kistaarabu watakutukana tuu.
UKAWA wakubwa hawa..!!