Ile miamba haifanyi kazi, ni kula tuIna maana hilo deni lilikopwa mwaka 1985?
Unaweza kuta kilichofanya deni kukua hivyo ni riba, inaonesha halikulipwa muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile miamba haifanyi kazi, ni kula tuIna maana hilo deni lilikopwa mwaka 1985?
Unaweza kuta kilichofanya deni kukua hivyo ni riba, inaonesha halikulipwa muda mrefu
Huu Muungano baada ya Hawa Wazee kuondoka miaka 30 ijayo nahisi kuna Kiongozi ataingia anauvunja.Ile miamba haifanyi kazi, ni kula tu
Aliyetoa ombi nani?Itakuwa walitoa ombi maalumu kuwa hiyo kesi isikilizwe kwenye Mahakama ya Tanzania Bara as Zanzibar ni Mtoto wetu hivyo ni rahisi kumpa upendeleo ikiwemo Muda mrefu wa Kulipa hilo Deni
Kodi utakayolipa ni ile ambayo ungetakiwa uilipe kwa mujibu wa sheria za kodi za UR Tanzania.Huu Muungano baada ya Hawa Wazee kuondoka miaka 30 ijayo nahisi kuna Kiongozi ataingia anauvunja.
Huwezi kukaa kwenye Muugano ambao haunufaiki, imagine ukinunua Gari Zanzibar ukileta Bongo land una lilipa Kodi tena.
Kama ingekuwa Fair kulikuwa hakuna haja ya kulipia Kodi mara mbili [emoji119]
Mambo mengi mliyaweka kwenye muungano mkadhani kwamba mtaikomoa Zanzibar, sasa Wazanzibari wanawakomoa Watanganyika kwa njia nyengine maana wana uhakika wa kutolipa madeni yao
Tusihoji sana ila hili Koti ni zito kusema kweli 🤪Aliyetoa ombi nani?
Hivi Mkenya umdhulumu/akudhulumu mali ndani ya moja kati ya hizi nchi mbili.
Unaweza/anaweza kuomba kesi ikasikilizwe Uganda. Na Uganda nae akubali kusikiliza hiyo kesi?
Kwanini tuwe na viwango vya Kodi tofauti ndani ya Nchi Moja?Kodi utakayolipa ni ile ambayo ungetakiwa uilipe kwa mujibu wa sheria za kodi za UR Tanzania.
Mfano umeingiza gari ukalipa kodi ya 6m Zanzibar wakati kwa mujibu wa UR Tanzania ilitakiwa ulipe 10M,sasa unapolileta huku ni lazima umalizie hizo 4M kwa uzuri tuu.
Unaamini kuna nchi moja hapa?Kwanini tuwe na viwango vya Kodi tofauti ndani ya Nchi Moja?
Manake kule Zanzibar hata Bei ya Sukari ni tofauti na Tanzania Bara, kule ipo Chini
Nahisi kabisa hii ni bei ya nchi! Maana vibilion kadhaa tu vya fedha vya zambia, kenya na uganda vinavyotesa nchi hzo dhidi ya kina bruce lee(china) sisi sijui tufanyaje? Ngoja tuanze kuipa mikoa majina ya kivietnam. Mwanza itabidi iitwe ng'wanzaTrillion 97??
Hahaha..............nimeota anatokea Mnyama mmoja mkubwa anammeza mnyama mdogo 🤪🏃🏃🏃Unaamini kuna nchi moja hapa?
Kwani hao wapemba hawawezi kujilipia deni lao?Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani 41,522,475,277.12 (Tsh. Trilioni 97.366).
CAG anaripoti...
View attachment 2593763
Muda utasema ila nahofia isije kuwa kinyume[emoji848][emoji2827]Hahaha..............nimeota anatokea Mnyama mmoja mkubwa anammeza mnyama mdogo [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Unalosema huenda ikawa kweli.Deni litalipwa na Watanganyika
Ingefanyika tathmini upya kuhusu Muungano nahisi ungekataliwa asubuhi na mapemaMuda utasema ila nahofia isije kuwa kinyume[emoji848][emoji2827]
Ingekuwa zenzi ndio wanatakiwa kulipwa hiyo trilioni 100 wangesema iwe ya Muungano!haya ndio madhara ya makubaliano! kIgeugeu na kiserengenyumaSwadakta walipe tu wasilie huruma