Mali za Serikali Kukamatwa

Mali za Serikali Kukamatwa

Ile miamba haifanyi kazi, ni kula tu
Huu Muungano baada ya Hawa Wazee kuondoka miaka 30 ijayo nahisi kuna Kiongozi ataingia anauvunja.

Huwezi kukaa kwenye Muugano ambao haunufaiki, imagine ukinunua Gari Zanzibar ukileta Bongo land una lilipa Kodi tena.

Kama ingekuwa Fair kulikuwa hakuna haja ya kulipia Kodi mara mbili 🙌
 
Jamhuri imekwapuliwa 33trillions
Kisiwani wanadaiwa 97 trillions
Jamhuri anadaiwa 72 trillions

  • Mwigulu amekopa 1.28 trillion nje ya utaratibu
  • TRC imepigwa 4 trillions
  • Magari ya 35 billions yameyayuka
  • TTCL hawajui wanayemdai 25 billions
  • Bwawani kule, tunawadai 900billions, watendaji wanambwela kuchukua
  • Jamhuri ananunua magari ya 558 billions kila mwaka
  • Vifaa tiba vya 500 millions vimeyayuka hospitali moja
  • Mashirika makubwa kama TANAPA hayana yanachochangia kwenye pato la nchi

ICD sasa zimefurika malori, njia hakuna tena.

Range ni gari za kawaida sana kwa sasa, nyuma kidogo tu ya IST.

Raisi wa Jamhuri ana HATI YA MKAAZI
Raisi wa Kisiwani ana HATI YA MKAAZI

Deni ni la MKAAZI, bila shaka MLIPAJI atakuwa chini ya MKAAZI.
 
Jamani, deni lote hilo?! Wataweza kweli kulilipa ama ndo kusubiri huruma ya kusamehewa madeni!
 
Itakuwa walitoa ombi maalumu kuwa hiyo kesi isikilizwe kwenye Mahakama ya Tanzania Bara as Zanzibar ni Mtoto wetu hivyo ni rahisi kumpa upendeleo ikiwemo Muda mrefu wa Kulipa hilo Deni
Aliyetoa ombi nani?

Hivi Mkenya umdhulumu/akudhulumu mali ndani ya moja kati ya hizi nchi mbili.
Unaweza/anaweza kuomba kesi ikasikilizwe Uganda. Na Uganda nae akubali kusikiliza hiyo kesi?
 
Huu Muungano baada ya Hawa Wazee kuondoka miaka 30 ijayo nahisi kuna Kiongozi ataingia anauvunja.

Huwezi kukaa kwenye Muugano ambao haunufaiki, imagine ukinunua Gari Zanzibar ukileta Bongo land una lilipa Kodi tena.

Kama ingekuwa Fair kulikuwa hakuna haja ya kulipia Kodi mara mbili [emoji119]
Kodi utakayolipa ni ile ambayo ungetakiwa uilipe kwa mujibu wa sheria za kodi za UR Tanzania.

Mfano umeingiza gari ukalipa kodi ya 6m Zanzibar wakati kwa mujibu wa UR Tanzania ilitakiwa ulipe 10M,sasa unapolileta huku ni lazima umalizie hizo 4M kwa uzuri tuu.
 
Offer ya Iftar inakuhusu
Mambo mengi mliyaweka kwenye muungano mkadhani kwamba mtaikomoa Zanzibar, sasa Wazanzibari wanawakomoa Watanganyika kwa njia nyengine maana wana uhakika wa kutolipa madeni yao
 
Aliyetoa ombi nani?

Hivi Mkenya umdhulumu/akudhulumu mali ndani ya moja kati ya hizi nchi mbili.
Unaweza/anaweza kuomba kesi ikasikilizwe Uganda. Na Uganda nae akubali kusikiliza hiyo kesi?
Tusihoji sana ila hili Koti ni zito kusema kweli 🤪
 
Kodi utakayolipa ni ile ambayo ungetakiwa uilipe kwa mujibu wa sheria za kodi za UR Tanzania.

Mfano umeingiza gari ukalipa kodi ya 6m Zanzibar wakati kwa mujibu wa UR Tanzania ilitakiwa ulipe 10M,sasa unapolileta huku ni lazima umalizie hizo 4M kwa uzuri tuu.
Kwanini tuwe na viwango vya Kodi tofauti ndani ya Nchi Moja?

Manake kule Zanzibar hata Bei ya Sukari ni tofauti na Tanzania Bara, kule ipo Chini
 
Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani 41,522,475,277.12 (Tsh. Trilioni 97.366).

CAG anaripoti...

View attachment 2593763
Kwani hao wapemba hawawezi kujilipia deni lao?
 
Back
Top Bottom