Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #41
Hiyo ni kodi. Kwa sababu kama kulikuwa hakuna kitu kwenye hazina huyu akitozwa kutakuwa na kitu. Lakini kama hakuna kitu kwenye hazina huwezi pata kodi toka kwa mtumishi.Haya mfanyakazi wa Serikali kapata mshahara ambao unatokana na kodi
Anaenda kununua bidhaa dukani kwa mfanyabiashara baada ya kupata mshahara halafu huyo mfanyabiashara analipa kodi kwa hicho alichonunua mfanyakazi
Je huyo mfanyabiashara ni mlipa kodi kwa tafsiri yako? Sababu hela ya kodi ndio kapokea iliyoletwa na mfanyakazi wa serikalini anayelipwa kupitia kodi
Maana mtumishi anategemea apate pesa toka hazina, kisha akatwe irudi hazina.