M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Oct 23, 2026 Thread starter #21 MastaKiraka said: Huwa sielewi ni kwa nini watu wanagombania mali za urithi, mimi nilipewa nyumba ya urithi nika ikataa kwa sababu nilihisi mbeleni itaniletea migogoro Click to expand... Ulimwachia nani?
MastaKiraka said: Huwa sielewi ni kwa nini watu wanagombania mali za urithi, mimi nilipewa nyumba ya urithi nika ikataa kwa sababu nilihisi mbeleni itaniletea migogoro Click to expand... Ulimwachia nani?
Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 3,477 Reaction score 5,283 Oct 23, 2026 #22 Malaria 2 said: Uislam umeweka uwazi ktk mirathi Click to expand... Ni kweli iko wazi lakini wahusika wakiamua kwenda mahakamani hakuna kitu uislam utafanya
Malaria 2 said: Uislam umeweka uwazi ktk mirathi Click to expand... Ni kweli iko wazi lakini wahusika wakiamua kwenda mahakamani hakuna kitu uislam utafanya