Malia Obama to attend Havard in 2017

Malia Obama to attend Havard in 2017

When mom and dad are both Ivy League graduates u got high standards to live up to..Good choice for her,all the best
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kama una division 4 huna ujanja wa kutembelea university
 
Mkuu mimi ni mrefu ila nina dogo langu lefu kinoma.
Hadi namuonea wivu maana she is on her thirteen ila mimi niliyeko katika 20's zangu nasubiri!
Hizo mambo za urefu sana ni kilema zishapitwa na wakati.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiv yule jamaa wa kenya alietaka kupeleka ngombe elfu kumi alifia wapi?
 
Natamani ningepewa urefu wa hivyo!
 
Hiv yule jamaa wa kenya alietaka kupeleka ngombe elfu kumi alifia wapi?

Jamaa punguani tu yule. We hata meno hajapiga mswaki anataka kumuoa mtoto wa Obama. SMDH!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mkuu mimi ni mrefu ila nina dogo langu lefu kinoma.
Hadi namuonea wivu maana she is on her thirteen ila mimi niliyeko katika 20's zangu nasubiri!
Hizo mambo za urefu sana ni kilema zishapitwa na wakati.

Aiseee 13 + 27 = 40..!!!!

Mh, heshima yako dada yangu, unasifa zote za kuitwa mama

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom