boniuso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 786
- 1,043
Hongera aisee
ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera aisee
Sanaaaa, yani ni warefu hadi raha.
Hasa Malia.[/QUOh
hapana bana sisi kwetu watakuona kama kilema. kwetu wafupi sana. huyo namfikia tumboni.
hawa viumbe wameenda hewani bana khaa
Aje amuombe ushauri Akili kubwaz, maana ana experience kubwa sana ya miaka 30 mtoni...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaha! le mutuz sio! mzee wa degree 3
dogo anaingia Havard kwa magenius wahuni wa kizungu ambao wao ni bata tu... house party, ma project X kwa sana halafu kwenye mitihani wana A
Mkuu mimi ni mrefu ila nina dogo langu lefu kinoma.
Hadi namuonea wivu maana she is on her thirteen ila mimi niliyeko katika 20's zangu nasubiri!
Hizo mambo za urefu sana ni kilema zishapitwa na wakati.
Tanzania kwanini haupo huo utaratibu?
Hiv yule jamaa wa kenya alietaka kupeleka ngombe elfu kumi alifia wapi?
What did you expect for a girl who was born with a sliver spoon. I am happy for her.
Mkuu mimi ni mrefu ila nina dogo langu lefu kinoma.
Hadi namuonea wivu maana she is on her thirteen ila mimi niliyeko katika 20's zangu nasubiri!
Hizo mambo za urefu sana ni kilema zishapitwa na wakati.