Malia Obama to attend Havard in 2017

Malia Obama to attend Havard in 2017

Unamiss kitu The Boss.
Kumbuka kupiga deal huko ni wizi, na mwizi hata apewe elimu gani bado hatoacha wizi wake.
Hivyo Obama elimu kaitumia kivingine na mzee wetu wa Harvard katumia elimu yake kivyake.
Hushangai kuna watu wamesoma elimu ya dini sana na bado ni mafiraun wa kutupwa?
Kuna mzee alituadisia tabia za chenge alisoma nae Nyegezi
Jamaa udokozi upo damuni
Though alikuwa kipanga kweli kweli
 
Kujiunga huko Harvard inabidi uwe na sifa zipi??Au GPA ya ngapi?
 
Duuuuh umejuaje hili mkuu?
Nimejikuta niko interesting sana.


ndio maisha yao watoto wa havard ijumaa utawakuta latinos friday, au wanakula rock paradise, wu kwenda kushangaaa mijusi Lizard Lounge ma project X kwa sana... house party ndio usisemee

sema wanaokwenda pale wengi ni Vipanga hata usomaji wao ni wa ki genius genius .... sio sie kutwa kushinda kwenye MDIGIRIIIIII ku discuss udsm oyeee....
hahahaha
 
Back
Top Bottom