CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #21
Nimekubali yaishe tu hahahahahaπππkhaaa,pamoja na kuamka usiku wote ndio comment hii tu chief
Ubaya uko wapi DadaNaona unatongoza AGGGOT TZ
Umekubali nini mzee hahahaNimekubali yaishe tu hahahahaha
z
Hiyo misifa kedekede nimekubali yaishe tu isije kuwa balaa bure!Umekubali nini mzee hahaha
πππHaya log of mkuu WashawashaHiyo misifa kedekede nimekubali yaishe tu isije kuwa balaa bure!
Z
6. Shepu nzuriJoanfaith,
1. Sura nzuri βοΈ
2. Elimu nzuri βοΈ
3. Matokeo mazuri PSLE βοΈ
4. Mchamungu mzuri βοΈ
5. Mtu wa watu βοΈ
Huyu anapashwa kupewa nafasi ya juu kwa maslahi ya Watanzania
Wanafungwa kwa kosa gani, mwanamke kutongozwa sunawanaume wa morogoro aka mologolo wanaogopa kumtongoza. wanaogopa jela
ndugu zangu wapogoro sijui wanakwama wapi
Achana na shepu tuzungumze matokeo haya PSLE6. Shepu nzuri
7. Mguu wa bia
Ccm hoyeeeee
ππHongera Sana DED
ππππππ
=>Huyu mkurugenzi anabidii Sana ya kazi,
=>Ni mchamungu Sana
=> Yuko social na kila mtu
=> Anajali Sana watumishi wake
=>She is also beautiful ila haringi,
=>Wengine wenye madaraka jifunzeni kwa huyu binti,
Niliwahi kuandika hii kabla ya hii TUZO,
πππππ
Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti
Nawasalimu kwa jina la JMT, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki, Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi, Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi...www.jamiiforums.com
ππAnahaki hiyo pia,CCM ni chama cha kukuza vipajiAnataka jimbo nini 2025, maana ndio zenu...
Mi nimeona niendelee kwenye pointi zako mzeiyaa πππAchana na shepu tuzungumze matokeo haya PSLE
ππAnahaki hiyo pia,CCM ni chama cha kukuza vipajiAnataka jimbo nini 2025, maana ndio zenu...
Hongereni Sana Wanawake viongozi wa Tanzania mkiongozwa na Mama Samia Suluhu HassanππWanawake tunaweza Sana tu, wale mliosemaga uteuzi wake ni wa mchongo vipi na haya matokeo ni ya mchongo? Dada mzuri na anaakili.
ππKugombea ni haki ya kila mwanachama hata hivyo, sio mbaya
CHADEMA NI WAZUSHI TU NJOO CCMHuu utafiti umeufanya Shule gani kiongozi?
Tangu lini Tanzania ikawa na Upinzani?
Mimi ni CHADEMA ila naipenda CCM
ππkhaaa, hii nchi ngumu Sana aiseJoanfaith,
1. Sura nzuri βοΈ
2. Elimu nzuri βοΈ
3. Matokeo mazuri PSLE βοΈ
4. Mchamungu mzuri βοΈ
5. Mtu wa watu βοΈ
Huyu anapashwa kupewa nafasi ya juu kwa maslahi ya Watanzania
Mtaji wa CCM ni Ujinga! Basi!Huu utafiti umeufanya Shule gani kiongozi?
Tangu lini Tanzania ikawa na Upinzani?
Mimi ni CHADEMA ila naipenda CCM
Huenda ni kweli au sio kweli,Mtaji wa CCM ni Ujinga! Basi!