Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

wanaume wa morogoro aka mologolo wanaogopa kumtongoza. wanaogopa jela

ndugu zangu wapogoro sijui wanakwama wapi.

kutongoza sio kosa kisheria.
 
Joanfaith,

1. Sura nzuri ✔️

2. Elimu nzuri ✔️

3. Matokeo mazuri PSLE ✔️

4. Mchamungu mzuri ✔️

5. Mtu wa watu ✔️

Huyu anapashwa kupewa nafasi ya juu kwa maslahi ya Watanzania
6. Shepu nzuri
7. Mguu wa bia
Ccm hoyeeeee
 
Hongera Sana DED

👇👇👇👇👇👇

=>Huyu mkurugenzi anabidii Sana ya kazi,

=>Ni mchamungu Sana

=> Yuko social na kila mtu

=> Anajali Sana watumishi wake

=>She is also beautiful ila haringi,

=>Wengine wenye madaraka jifunzeni kwa huyu binti,


Niliwahi kuandika hii kabla ya hii TUZO,


👇👇👇👇👇


😍😍
 
Wanawake tunaweza Sana tu, wale mliosemaga uteuzi wake ni wa mchongo vipi na haya matokeo ni ya mchongo? Dada mzuri na anaakili.
Hongereni Sana Wanawake viongozi wa Tanzania mkiongozwa na Mama Samia Suluhu Hassan😍😍
 
Joanfaith,

1. Sura nzuri ✔️

2. Elimu nzuri ✔️

3. Matokeo mazuri PSLE ✔️

4. Mchamungu mzuri ✔️

5. Mtu wa watu ✔️

Huyu anapashwa kupewa nafasi ya juu kwa maslahi ya Watanzania
😍😍khaaa, hii nchi ngumu Sana aise
 
Back
Top Bottom