Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

Kama nnaona vle ushindi kwa Ally Mayai Tembele tujaribu kwake pia tuone ataifanyia nn TFF
 
Money Laundering "utakatishaji pesa" hauna dhamana
 
Hili shtaka hili la kuhushi ni sawa na lile alofanya lipumba na msajili wa vyams vya siasa. Ni wizi wa wazi kabisa wakajichotea 350m
Jee takukuru hamkuona hilo ?
Au huu ni wizi ruhsa kwa awamu hiii sababu ni mtaji wa kisiasa
 
Hii Bongo, there must be something behind the scenes, time is the best teacher of everyone.
[HASHTAG]#Huu[/HASHTAG] mchezo unaweza kuwa umesukwa ili kuwaharibia watu#
 
Hii kwa upande mwingine inamuaribia atakaye shinda. Watu watakuwa na chuki naye na kuonekana kama mfumo umembeba, amewekwa pale na watu na hakustahili.

Hasa mambo yatakapo kwenda mlama. Sioni Soka likisonga mbele baada ya uchaguzi itakuwa majungu tu.

Usimba Uyanga umezidi kwenye chama.
 
Shitaka la kutakatisha pesa halina dhamana Mkuu.
 
Hii kwa upande mwingine inamuaribia atakaye shinda. Watu watakuwa na chuki naye na kuonekana kama mfumo umembeba, amewekwa pale na watu na hakustahili.

Hasa mambo yatakapo kwenda mlama. Sioni Soka likisonga mbele baada ya uchaguzi itakuwa majungu tu.

Usimba Uyanga umezidi kwenye chama.
 
Nikweli mkuu umenena vyema sana,,..
 
Sijawahi kuamini maccm katika kuongoza mahali popote.
Hata huyo Ali mayai kwa ambao hawamjui n ccm mkubwa toka kipindi icho anasoma CBE.
Huu ni utawala mwingine kiongozi... Fisadi Malinzi nae ana kadi ya ccm mfukoni....

Ali Mayai ya kuku ndiye rais wa TFF... Hutaki nenda kaishtaki TAKUKURU kwa kumtia ndani Fisadi Mali ya Inzi
 
Hili shtaka hili la kuhushi ni sawa na lile alofanya lipumba na msajili wa vyams vya siasa. Ni wizi wa wazi kabisa wakajichotea 350m
Jee takukuru hamkuona hilo ?
Au huu ni wizi ruhsa kwa awamu hiii sababu ni mtaji wa kisiasa
Walikuwa wana mlia tyming, wasingeweza kukurupuka hawa wezi Malinzi&co walikuwa wanajificha nyuma ya FIFA, TAKUKURU ni chombo cha serikali wasingeweza kuingilia kati bila kumlia tyming tungepigwa ban na FIFA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…