Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

Ndiooo maana hukumu baada ya kifo
Sio ukiwahaii mkuu ujajuaa
 
Waingia na :-

Baadaye waondoka kihivi..

Kweli JPM hana kurembesha kabisa...
 
Malinzi nakumbuka alivyokuwa bodi ya kahawa,baadae akawa na misemi ya kumwaga,pale knondoni block 41 ilikuwa shida
 
Hii thread aiyone GENTAMYCINE ... Safe place ya kuishi huyu fisadi Malinzi ni kuzimu.... Malinzi kamaliza kuliuwa soka la Tanzania....

Tunaposema mambo humu muwe mnatusikiliza. Nadhani kuna ambao tokea jana niliwaambieni kuwa ' System ' ikiamua haishindwi na kwamba kilichofanyika ni kutaka tu kumkwepesha Malinzi asihudhurie Usaili leo na hatimaye akose sifa ya Kutetea Kiti chake na ndicho kilichofanyika na kimefanikiwa tena kwa 100%. Namalizia kwa kusema kuwa ' Mission Accomplished ' na sasa njia ni nyeupe kabisa kwa anayetakiwa na ' System ' pamoja na wenye mpira wao Ally Mayai Tembele na Mzee Mtemi Ramadhan. Timing iliyofanyika ilikuwa ni ya ' Kimafia ' zaidi na Jamal E. Malinzi alijisahau sana na kudhani mambo yameisha na sasa yamemkuta.
 
Yaani mwizi aruhusiwe kugombea urais TFF? NA pesa ya kurudia uchaguzi itoke wapi? Aende akavune alichopanda
Mayai for change

Basi Ali Mayai Tembeleee
 
Kutakatisha fedha kuna dhamana? muulize pedeshee ndama mutoto ya ng'ombe
Hii ni vita ndugu ,Lazima utafutiwe timing ili ukipewa ya mbavu usiinuke.Wao walikuwa wanajidai na FIFA haitaki kuingiliwa na serikali
Au uulize Kitiliya Shose na sioyi
 
Pole zake. Nashukuru tu ktk soka hatogombea tena tff, daaah!
 
Yaani mwizi aruhusiwe kugombea urais TFF? NA pesa ya kurudia uchaguzi itoke wapi? Aende akavune alichopanda
Hao ni watuhumiwa tu kaka till proved guilty by the court of law... Les try to avoid prejudice...
 
Umegusa penyewe kaka, back fire itahusu hapo mbele ya safari
 
Acha wenye mpira wao sasa waongoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…