Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

Simpendi Malinzi, lakini sipendi zaidi vyombo vya dola kuingilia michakato ya kidemokrasia.

Hivi ndio alivyofanya James Comey wa FBI muda mfupi kabla ya uchaguzi wa USA, alitangaza matokeo ya uchunguzi kuhusu mgombea ambae alikuja kushindwa. Kwa nini wasingemu arrest muda mrefu kabla au baada ya uchaguzi?
 
nalisikia hadi zile hela za majuzi zilizochangwa kwaajili ya Serengeti boys walizipiga acha wanyooshwe Hans Pop cjui wamemsahau
 
Really there is something fishy
 
Inawezekana mazingira ya kuutengeneza ushahidi yalikuwa muafaka wakati wa mchakato wa uchaguzi hivyo muda wote walikuwa wanaandaliwa trap, anyway kwamba wamekamatwa ktk wakati gani sio Issue in question kama makosa yapo.
Rejea uchaguzi wa TLS hata Lisu aliundiwa zengwe kama hili,lakini akaruka kihunzi.
 
Mleta mada, nani katakatisha fedha? Malinzi na Mwesigwa au Kaburu na Aveva?
Hatuelewi aise...
Ila Malinzi na wenzake kwa hili ya kumsahau kabisa huyu nahodha lazima pia washtakiwe kabisa..
Daaah !huyu Dogo ndo walichomfanyia?tifuatifua ya mali Za nzi [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Uking'ang'ania sana balaa, lazima ukutane na zimwi. Alijua alichotenda na hayo ndio matokeo yake.
 
Hivi na hao mnsosema matembele,haitokei siku1wakawa wapigaji?
Maana uchaguzi huu katika nafasi za uongozi, kila mtu katoa shipala shingo kuwania nafasi!
Iv kweli wote hao ni kwaajili ya kutumikia wanasoka?
Nafasi hizi zinatafutwa kukiwa na sababu mbilimbili, moja wazi, nyingine nyuma ya pazia.
 
haya tunaweza kujua kuyashuhudia hata kwenye chaguzi zetu za kisiasa.........
 
ila kwa sasa atakae kuwa Rais wa TFF lazima awe kibaraka la sivyo awamu moja tu unang'oka
 
Mimi Ni kati ya watu wenye feelings kwamba kucheza mpira kisiwe kigezo cha kuwa raisi wa tff huyo mayai hawezi!!
 
Raundering ndio nini?
Kutakatisha fedha yaanikuingiza fedha zilizopatikana kwa njia jaramu katika mzunguko halali mfano,umepora milion mia unaenda kununua ng'ombe ,mbuzi halafu ukiwauza hela yako inarudi au kuziweka benk au kununua shamba kwa pesa ya madawa ya kulevya au fedha feki.
 
Hiyo inaitwa Money Laundering sio Raundering Kama huyo kilaza alivyokuwa kaandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…