Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

Malinzi na Aveva wanafanana kitu kimoja wote baada ya kuchaguliwa walikwenda kujitambulisha kwa Edward Lowasa wakati huo akiwa ccm, wanasema ndege wafananao huruka pamoja
 
Malinzi na Aveva wanafanana kitu kimoja wote baada ya kuchaguliwa walikwenda kujitambulisha kwa Edward Lowasa wakati huo akiwa ccm, wanasema ndege wafananao huruka pamoja
Nakumbuka tukio tukio la malinzi kwenda kwa Edlow. Yule muhaya ni mtu wa fursa sana
 
Kutakatisha fedha kuna dhamana? muulize pedeshee ndama mutoto ya ng'ombe
Hii ni vita ndugu ,Lazima utafutiwe timing ili ukipewa ya mbavu usiinuke.Wao walikuwa wanajidai na FIFA haitaki kuingiliwa na serikali
aliyetakatisha fedha ni kabulu, Nalinzi ni matumizi mabaya ya ofisi, inakubidi uwe na mtindio wa ubongo ili usihusishe kinachoendelea kwa sasa na masuala ya uchaguzi.
 
aliyetakatisha fedha ni kabulu, Nalinzi ni matumizi mabaya ya ofisi, inakubidi uwe na mtindio wa ubongo ili usihusishe kinachoendelea kwa sasa na masuala ya uchaguzi.
unauhakika kabulu katakatisha? je umefuatilia mashitaka yote 28 ya malinzi
 
Africa kila kitu ni kama kubet, ni ujanja ujanja na ufirahuni. Naogopa hii isije kuwakuta wengine huko mbeleni kakafanywa ndo kamtindo kapya ka kuchukulia madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…