Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
Najua wewe ni msomi tena mwelewa nakuomba utuachie TFF, nitafurahi ukilifanya jambo hilo kabla hakujapambazuka.
 
Washambuliwe tu.Kila mara tunalalamikia ufisadi nchini lakini tunasahau kuna genge jingine la mafisadi.Hawa timu ya taifa ni mafisadi.Wanakula posho na huduma za bure tu lakini hakuna la maana wanalotufanyia!
Nahimiza wapigwe tu popote wanapoonekana
 
Kocha wa Tz apata ulinzi mkali sana. Labda ni hasira za watanzania juu ya timu yao.
 
yeye ndiye alikua anacheza?
acha fitna maana bado hatujazarisha wachezaji wa kupambana?
we uliona wapi wachezaji wanatafutwa kwenye ligi ya diwani?
bila kua na soccer academies za kutosha hakuna tutakalo lifanya.
 
Malinzi hafai, tifutifu haifai yote si ujinga kuanza upya, moyo umepoa sababu ya maumivu makali sana niliyonayo
 
Kushindwa kufanya vizur kwa timu yetu ya taifa kuna mambo yanayo changia kwanza raisi wetu wa mpira hayuko makini nafikiri nibora ajiuzuru kwani kashindwa kutekeleza aliyoyaahid pili kocha wa kigeni hawatufai tuwakabidhi timu kocha wazawa tatu michezaji yetu haijitumi uwanjani nne timu yetu inaundwa kila siku hakuna wachezaji wanaozoeana kwa muda mrefu mengine mchangie wenzangu wenye uchungu wa kufungwa kama mimi roho ilivyoniuma mpaka naanza kukata tamaa kuishangilia tanzania kama kungekuwa ndo unabadilisha nch mimi ningekuwa ata mjerumani kuepuka aibu ya kufungwa kila siku
 
yeye ndiye alikua anacheza?
acha fitna maana bado hatujazarisha wachezaji wa kupambana?
we uliona wapi wachezaji wanatafutwa kwenye ligi ya diwani?
bila kua na soccer academies za kutosha hakuna tutakalo lifanya.
Anayepaswa kuanzisha na kusimamia hayo ni nani au Taasisi gani ?
 
Nafikiri badilisha nchi uwe ujerumani ufurahi. Kwenye soka hakunaga uzalendo
 
Kosa la Malinzi ni lipi? Kipi tofauti na hiki mlitegemea kwa vigezo Vipi, Kama Malinzi hafai ajiuzulu basi na wale walompigia kura nao wajiuzulu kwa kutuingiza mkenge
 
yeye ndiye alikua anacheza?
acha fitna maana bado hatujazarisha wachezaji wa kupambana?
we uliona wapi wachezaji wanatafutwa kwenye ligi ya diwani?
bila kua na soccer academies za kutosha hakuna tutakalo lifanya.

Kwani msimamizi ni nani we vipi,kaa kimya usizidishe hasira watu,unajua upuuzi anaoufanya malinzi kwenye uteuzi wa wachezaji wa timu ya taifa?kwa akili yako kocha ndio kachagua wachezaji,mpaka nimemuomba aondoke kuna nnalojua
 
yeye ndiye alikua anacheza?
acha fitna maana bado hatujazarisha wachezaji wa kupambana?
we uliona wapi wachezaji wanatafutwa kwenye ligi ya diwani?
bila kua na soccer academies za kutosha hakuna tutakalo lifanya.

Acha kubwabwaja!!!academies ni mpango wa mda mrefu ,vipi kuhusu sahivi tuendelee kufungwa kisa academy??
 
Malinzi hafai, tifutifu haifai yote si ujinga kuanza upya, moyo umepoa sababu ya maumivu makali sana niliyonayo

Kwanini serikali kupitia wizara ya michezo ipo kimya?wana nini hawa
 
Timu apewe mkwasa tu, na wakati umefika serikali kupitia Wizara husika kuibua vipaji ambavyo viko mtaani..kitaani kna vipaji kibao na wenye uwezo na pia warudishe michezo kwenye mashule.
Kuanzia sasa waivunje timu ya taifa kuanzia uongozi wa mpira hadi Kocha watoe.
Kitu kingine kinachouwa mpira wa tz ni simba na yanga
 
Malinzi,amegeuza tff ya Fitina visasi na majungu yasiyo na mbele wala nyuma badala ya kuendeleza soka.
 
Yan kweli shughuli yan bado kuna watu wanataka kumkingia kifua malinzi na kocha wake
 
tatizo liko kwenye vilabu yanga na azam waache kununua mechi...
 
Anayepaswa kuanzisha na kusimamia hayo ni nani au Taasisi gani ?
Unakumbuka serikali ya mali na serikali ya japan walivyojitoa miaka15 iliyopita?
na leo wapo wapi?
malinzi ndio kwaaaanza sijui ana miaka2 jee ataweza kufanya mabadiliko hayo kweli?
waliotuharibia ni RAGE na NDOLANGA enzi hizo.....
 
Acha kubwabwaja!!!academies ni mpango wa mda mrefu ,vipi kuhusu sahivi tuendelee kufungwa kisa academy??
Sasa kuna anayeenda peponi bila kufa?
malinzi ni sawa na mbuzi wa kafara mkuu.
Cha msingi ni malinzi atengeneze mipango ya muda mrefu(15yrs)
 
Last edited by a moderator:
Uwezo mdogo, wachezaji wa siku hizi wanalilia makubwa na wanapewa mfano magari, nyumba etc lkn manina zao hawabebeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…