Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,013
Mkuu uwe unaweka space na paragraph!
Hapa cha mhimu ni kutangaza Tz hatuna timu ya Taifa kwa miaka 5, then tuwaendeleze wale watoto wa Academy ile ya Mwz ilio twaa ubingwa wa A. Mshariki. Hawa akina Kanavaro, sijui Bahanuz, Sijui Samata, nk wamezeeka.
Huku hizi miaka 5 ya mapumziko tukiwekeza Twiga Stars.