Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Mkuu uwe unaweka space na paragraph!

Hapa cha mhimu ni kutangaza Tz hatuna timu ya Taifa kwa miaka 5, then tuwaendeleze wale watoto wa Academy ile ya Mwz ilio twaa ubingwa wa A. Mshariki. Hawa akina Kanavaro, sijui Bahanuz, Sijui Samata, nk wamezeeka.

Huku hizi miaka 5 ya mapumziko tukiwekeza Twiga Stars.
 
Kosa la Malinzi ni lipi? Kipi tofauti na hiki mlitegemea kwa vigezo Vipi, Kama Malinzi hafai ajiuzulu basi na wale walompigia kura nao wajiuzulu kwa kutuingiza mkenge

dah unaongea km umelogwa!! na uache undorobo co watanzania wote wanaopiga kura kumchagua rais wa TFF ni wajumbe kutoka mikoani ambao hata cc wadau hatuwajui!!
 
yeye ndiye alikua anacheza?
acha fitna maana bado hatujazarisha wachezaji wa kupambana?
we uliona wapi wachezaji wanatafutwa kwenye ligi ya diwani?
bila kua na soccer academies za kutosha hakuna tutakalo lifanya.

Hivi wale wachezaji wa ile timu ya 1980's iliyofuzu AFCON ya akina Tino, Kajole, Tenga, Thuen Ally, Daud Salum, ....walipitia academies zipi?
 
Aibu sana kufungwa uwanja wa nyumbani
 
Unakumbuka serikali ya mali na serikali ya japan walivyojitoa miaka15 iliyopita?
na leo wapo wapi?
malinzi ndio kwaaaanza sijui ana miaka2 jee ataweza kufanya mabadiliko hayo kweli?
waliotuharibia ni RAGE na NDOLANGA enzi hizo.....

post yako inatia hasira tungekua pmj ushakula ya uso!!
 
Kweli na wafungiwe wote miaka 5 wasijihusishe timu ya taifa
 
dah unaongea km umelogwa!! na uache undorobo co watanzania wote wanaopiga kura kumchagua rais wa TFF ni wajumbe kutoka mikoani ambao hata cc wadau hatuwajui!!

Sasa akijiuzulu Malinzi huyo Rais ajae si atachaguliwa na nan si wajumbe hao hao, tatizo mnadhani akiondoka Malinzi mtakuwa mme solve tatizo
 
Timu apewe mkwasa tu, na wakati umefika serikali kupitia Wizara husika kuibua vipaji ambavyo viko mtaani..kitaani kna vipaji kibao na wenye uwezo na pia warudishe michezo kwenye mashule.
Kuanzia sasa waivunje timu ya taifa kuanzia uongozi wa mpira hadi Kocha watoe.
Kitu kingine kinachouwa mpira wa tz ni simba na yanga

vipi kuhusu malinzi nae ajiuzuru?
 
Jogoo hauwawi kwa wingi wa utitiri japo watamkosesha amani
 
Zetu tuzo tu....Kipa bora.....Kocha bora......Mtumbuizaji bora
 
Mkuu uwe unaweka space na paragraph!

Hapa cha mhimu ni kutangaza Tz hatuna timu ya Taifa kwa miaka 5, then tuwaendeleze wale watoto wa Academy ile ya Mwz ilio twaa ubingwa wa A. Mshariki. Hawa akina Kanavaro, sijui Bahanuz, Sijui Samata, nk wamezeeka.

Huku hizi miaka 5 ya mapumziko tukiwekeza Twiga Stars.

Kweli kabisa
 
Timu apewe mkwasa tu, na wakati umefika serikali kupitia Wizara husika kuibua vipaji ambavyo viko mtaani..kitaani kna vipaji kibao na wenye uwezo na pia warudishe michezo kwenye mashule.
Kuanzia sasa waivunje timu ya taifa kuanzia uongozi wa mpira hadi Kocha watoe.
Kitu kingine kinachouwa mpira wa tz ni simba na yanga

Wakikusikia CCM utakula miaka mi3 jela na viboko 9. Hatutaki fikra za kimapinduzi Tanzania.
 
Muame.nchi hii.ndio timuydtu tutafungwa mpakamwisho tushazoea.nahisi jmal nae akienda uwanjan anajua matokeo..huo n ushindi mkubwa kujua timuyako ilivyo
 
Hiviwamefungwa.ngapleo vile ata sijangalia
 
Atoke.jamal mkacheze.nyinyi..mbona.mabosi wenu.wanaiba awatoki sembuse.huyu achagui hata timu

mpao abakese ssebo
 
Back
Top Bottom