Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

sasa akijiuzulu malinzi huyo rais ajae si atachaguliwa na nan si wajumbe hao hao, tatizo mnadhani akiondoka malinzi mtakuwa mme solve tatizo
wasome bingwa.uk wa 5..tungesikiliza ya ulimwengu jenerali tusingekuwa hapa

jakiwa mzee wa bmt msaidizi tenga.kulifanyika mapinduzi yakuwaondoaakina.ndolanga..akasema bora tufungiwe tujipange.na hawa viongozi wapya then fiffa wakitufungulia tutakuwa na timuya heshima

hilo tu..badae serikal ikabanwa wakachia ..so uongozi sishda sana utachagua hadi lut.kanal..
 
Ndomana wameogopa kuchezesha Mechi hyo hapa dar walijua watapigwa maweeee na mashabiki
 
Jwtz agizeni ndege ya wachezaji wa tff ishushwe Monduli mara moja,,, waache undoroboooo
 
Sasa akijiuzulu Malinzi huyo Rais ajae si atachaguliwa na nan si wajumbe hao hao, tatizo mnadhani akiondoka Malinzi mtakuwa mme solve tatizo

Hivi kama mtu anajielewa kabisa hatokuwa na mchango/wazo lolote ktk kusukuma mbele soka la Tz kwa nini anagombea na kutuhadaa waTz..?!
 
Fikiria na keshokutwa tunavaana na nigeria!!sjui nikajifichie wapi mimi
 
Kwani msimamizi ni nani we vipi,kaa kimya usizidishe hasira watu,unajua upuuzi anaoufanya malinzi kwenye uteuzi wa wachezaji wa timu ya taifa?kwa akili yako kocha ndio kachagua wachezaji,mpaka nimemuomba aondoke kuna nnalojua

Malinzi hana kosa lolote hapo una muonea tuu!
 
viongozi wote wa TFF wajiuzulu ili kumshinikiza Malinzi aondoke.Huwezi kuanzia mbali halafu ukawaacha wa karibu,
 
viongozi wote wa TFF wajiuzulu ili kumshinikiza Malinzi aondoke.Huwezi kuanzia mbali halafu ukawaacha wa karibu,

Unajua kuwa viongozi wote aliowaweka ni wahaya wenzake?
 
Hujawahi kuchangia maoni ya maana tangu ujiunge jf.

Nilijiunga lini? vile, sasa kataa kubali tatizo liko kwenye vilabu kama vilabu viko vizuri tunafika wafi kwenye muchuano ya vilabu bmchukua huyu malinzi ambaye Ni zao la JF ameingia pale akaanza kujaza wahaya wenzake lakini tusimtupie mzigo wote yeye...
 
Hivi wale wachezaji wa ile timu ya 1980's iliyofuzu AFCON ya akina Tino, Kajole, Tenga, Thuen Ally, Daud Salum, ....walipitia academies zipi?

mkuu wale wachezaji walikua na nidhamu na adabu.
now days utandawazi umeharibu adabu yetu.
so inabidi adabu yetu ilejeshwe kupitia vituo vya muchezo.
Uzalendo pia ni shida,inabidi uzalendo urudishwe kupitia academies,watu wanapigwa 3-0 home wanatoka uwanjani wanacheka huo si upuuzi?
ilitakiwa walie kwa kipigo kile.
 
Back
Top Bottom