wasome bingwa.uk wa 5..tungesikiliza ya ulimwengu jenerali tusingekuwa hapasasa akijiuzulu malinzi huyo rais ajae si atachaguliwa na nan si wajumbe hao hao, tatizo mnadhani akiondoka malinzi mtakuwa mme solve tatizo
tff ikabidhiwe kwa mkurugenzi wa alliance
vipi kuhusu malinzi nae ajiuzuru?
Hujawahi kuchangia maoni ya maana tangu ujiunge jf.tatizo liko kwenye vilabu yanga na azam waache kununua mechi...
Sasa akijiuzulu Malinzi huyo Rais ajae si atachaguliwa na nan si wajumbe hao hao, tatizo mnadhani akiondoka Malinzi mtakuwa mme solve tatizo
Ndomana wameogopa kuchezesha Mechi hyo hapa dar walijua watapigwa maweeee na mashabiki
Kwani msimamizi ni nani we vipi,kaa kimya usizidishe hasira watu,unajua upuuzi anaoufanya malinzi kwenye uteuzi wa wachezaji wa timu ya taifa?kwa akili yako kocha ndio kachagua wachezaji,mpaka nimemuomba aondoke kuna nnalojua
viongozi wote wa TFF wajiuzulu ili kumshinikiza Malinzi aondoke.Huwezi kuanzia mbali halafu ukawaacha wa karibu,
Hujawahi kuchangia maoni ya maana tangu ujiunge jf.
Malinzi hana kosa lolote hapo una muonea tuu!
Hivi wale wachezaji wa ile timu ya 1980's iliyofuzu AFCON ya akina Tino, Kajole, Tenga, Thuen Ally, Daud Salum, ....walipitia academies zipi?