Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

yeye ndiye alikua anacheza?
acha fitna maana bado hatujazarisha wachezaji wa kupambana?
we uliona wapi wachezaji wanatafutwa kwenye ligi ya diwani?
bila kua na soccer academies za kutosha hakuna tutakalo lifanya.

Kwa hiyo hizo academy zitatoka hewani? Kazi ya huyo Malinzi ni nini basi?
 
Kwa hiyo hizo academy zitatoka hewani? Kazi ya huyo Malinzi ni nini basi?

Mkuu usitumie nguvu nyingi kumjibu kilaza huyo,nchi hii sjui ikoje,anaekosea anakosea akikosolewa anatetewa na mijinga kama hiyo
 
Sasa kuna anayeenda peponi bila kufa?
malinzi ni sawa na mbuzi wa kafara mkuu.
Cha msingi ni malinzi atengeneze mipango ya muda mrefu(15yrs)

Typical Tanzanian. Kwa hiyo malinzi anasubiri wewe umwambie atengeneze mpango wa muda mrefu? Uganda wana academies ngapi? Acheni kukariri tu. Huyo malinzi wako hana vision yoyote ya soka, labda ile ya kutaka kujenga fremu za biashara. malinzi hafai kabisa kuongoza soka. Period.
 
Last edited by a moderator:

Kutokana na upuuzi unaoendelea kwenye timu yetu ya taifa ondoeni hili shirikisho lisiwepo kabisa mana naona hakuna namna nyingine,ukimya wenu juu ya huyu jamali malinzi siulewi kabisa,basi kama mmeshindwa kumuondoa ondoeni hiki kitu kinaitwa tff baada ya miaka 4 mkilete tena,msitutafutie jela kwa nguvu,imetosha kuumizana mioyo.
 
Mods pelekeni uzi huu jukwaa la siasa,serikali ipate kuupitia kwa uzuri.
 
Hivi ule uzi siku ya uchaguzi TFF uko wapi?? skumbuki niliandika nini mule
 
Ukipewa wewe TFF unafanya nn ili tushinde kombe la dunia?
 
ukiona mwanaume anaongea amepindisha shingo yake usitegemee lolote la maana.bora Tenga na Maximo wake tulikuwa na jeuri kidogo.
mnaosema academy mmekariri mnayosikia.
 
Huu uzembe ukiachiwa uendelee itakua kama kwenye siasa kila mmoja atajiona ana uwezo wa kua rais. Tusikubali jambo kama hilo michezoni. Ifikie mahali kiti cha tff kuchukua fomu mtu ajiulize mara mia. Sio mahali pa kuzugia huku unajishuhulisha na miradi binafsi kama kawa.
 
mwaka 2003 klabu ya barcelona ya spain waitisha kura ya kutokuwa na imani na rais wao luis gaspar.na kulekea kundi la elephat group lililoongozwa na juan laporta na bwana mdogo sandro rosell walimuangusha mr luis gaspar na kupelekea mwanasiasa laporta to take over control.huo ni mfano tu,jaman malinzi na wahaya wenzake wametuchosha mara jezi mara kuhamisha makao makuu tff.leo kuvulunda kwa timu hatukubali NAOMBENI MWONGOZO NA TARATIBU ZA KUITISHA KURA KUTOKUWA NA IMANI ILI TUMUTOE MALINZI TFF natania tu malinzi usiwe na presha
 
Wewe ni mbaguzi. Kitendo cha kutaja Wahaya ni kuwabagua. Malinzi ni Mtanzania kama alivyokuwa Tenga. Utendaji Wa kazi usitukanishe kabila
 
Mimi sio mwanasiasa kivile,ila kwa wale wanaofatilia mpira wa miguu mtakuwa mnadahamu mwenendo wa timu yetu ya taifa hasa baada ya kuchaguliwa kwa bwana jamal malinzi kama raisi wa tff,malinzi alitumia nguvu nyingi kiasi mpaka fifa wakaingilia kati,aliwahongo wajumbe na wapiga kura pesa nyingi sana akatumia hila za kila aina na hatimae akachaguliwa kuwa kiongozi mkuu wa maswala soka hapa tanzania,kilichofata baada ya kuchaguliwa kwake wote tuliona na tunaendelea kuona.

Aligeuka kuwa kiongozi wa visasi hasa kwa wale waliokuwa kambi tofauti naye kipindi cha uchaguzi.akajaza nduvu zake,kwnye kamati mbali mbali za tff,makocha wote alowakuta alitimua,kiufupi malinzi kaigeuza tff mali ya ukoo wao.

Wote tunashuhudia,matokea ya utekezaji wa mambo yake.Timu ya taifa kila siku inafungwa,hakuna cha maana kinachofanyika.tumebaki kujutia maamuzi yetu na kulalamika kusiko isha.

Tukirudi kwenye maswala ya siasa,tunaona ni kwa jinsi gani bwana lowasa akijaribu kupitia kwenye mkondo ule ule aliopita malinzi wa tff ili kutimiza adhima yake,anahonga,analaghai,anatumia njia yoyote ile ili tu kufanikisha malengo yake.

Ndugu zangu.tabia ni kama rangi ya ngozi,once a jumper always a jumper.

Lowasa ni mwizi tena mwizi nguli,hii tabia imemganda na kamwe hatakuja kuiacha.mtu unabaki unajiuliza hiv tangu ameanza kampeni zake na mapesa anayotatumia hivi hyu mtu angekuwa na nia ya dhati ya kutusaidia watanzania,hizo pesa si angechongesha hata madawati,tungemwona ni kiongozi anaejitoa,na angebaki kuwa shujaa na kiongozi bora ktk mioyo ya watanzania.

Yanayotokea tff yanaweza kutokea katika taifa letu pia.tujitafakari upya. Tufanye maamuzi sahihi.
 
Tuambie ni yupi ndani ya ccm siyo mwizi
 
Kumbuka pia Edward Lowasa alitoa fedha nyingi kwa Malinzi wakati anagombea urais wa TFF. Ni wamoja hawa. Hakuna jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…