Malinzi na Mwesigwa waendelea kuzoeshwa maisha ya kuishi Segerea

Umejuaje kuwa ni kesi ya "money laundering" kungali hapana ushahidi?? Sheria zetu zina naksi.

Huyo anayeshitaki anatakiwa warau aonesha preliminary proof kwamba kuna aina hiyo ya kosa amelifanya mtuhumiwa.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huna hata idea ya kesi fuatilia kesi ya Malinzi inahusisha makosa gani
 
Le Divas yule mtangazaji wa Clouds na yy si mtu maarufu mjini kwanin asitumie umaarufu wake kumdhamini dad akee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umejuaje kuwa ni kesi ya "money laundering" kungali hapana ushahidi?? Sheria zetu zina naksi.

Huyo anayeshitaki anatakiwa warau aonesha preliminary proof kwamba kuna aina hiyo ya kosa amelifanya mtuhumiwa.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
CCM una akili(TWAWEZA)?

Mnabisha hata vitu ambavyo hamjui. Kwa muhtasari hii ndo kesi inayomkabili Malinzi na makamu wake: Rais wa TFF Jamal Malinzi, Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine na Mhasibu wa Shirikisho hilo, Nsiande Mwanga walifikishwa Mahakamani leo wakikabiliwa na mashitaka 28, ikiwemo ya utakatishaji fedha Dola za Marekani, 375,418.

Kilichotokea kwenye kesi ya Jamal Malinzi na wenzake Mahakamani leo – millardayo.com

FYI mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana, kama mnakumbuka kesi ya Ndama mutoto wa Ng'ombe kafuatilieni kama alipewa dhamana.
 
We have no time kufuatilia utumbo wa CCM(Masamaki TRA)
 
Kama huna muda ulikuja kufanya nini kwenye huu uzi? Acha kudandia mambo usiyoyajua unaanika ulivyo mweupe kichwani
Una nini ww boya, acha ujinga walikuwepo akina Nape, Sumaye, Lowasa, Masha, Rostam, Manji sembuse wewe vima? shame on you
 
Huna hata idea ya kesi fuatilia kesi ya Malinzi inahusisha makosa gani
Nilichomaanisha mkuu ni kwamba, ktk misingi ya haki, hauwezi kum-deny mtu haki ya dhamana kwa makosa ambayo mshitaki mwenyewe hajawa na ushahidi ku-establish case anayotuhumu.

Kesi ya kutakatisha fedha na uhujumu uchumi kwa kuwa zina nguvu ya kumkosesha mtu dhamana, ilitakiwa sheria kuwa plain kuwa prosecutor anatakiwa kuwa na ushahidi wa msingi kabla ya kufungua kesi na dhamana anyimwe baada ya kuonekana hiyo kazi ipo.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Una nini ww boya, acha ujinga walikuwepo akina Nape, Sumaye, Lowasa, Masha, Rostam, Manji sembuse wewe vima? shame on you

Sumaye, Rostam, Lowassa wanatokea wapi kwenye uzi wa kesi ya Malinzi? We jamaa sio mzima, acha kudandia dyudyu kwa mbele kwa mambo usiyoyajua
 
Angalau Tz ya sasa, jela ni kwa wote

refer to Kitilya,Shose, Seth, Ruge, et al

sent from servant of God
 
Waendelee kukaa tu huko maana sahv Stars angalau inatoa droo na ilimfunga Muafrika kusin tukafika nusu, wakifungwa miaka 30 Stars tutachukua kombe la Afrika
 
Muda mchache uliopita Viongozi wa TFF Rais Jamal Emil Malinzi na Katibu Mkuu wake Celestine Mwesigwa wamerudishwa tena Segerea hadi tarehe 31 mwezi huu ambapo Kesi yao itatajwa tena baada ya upande wa Washtaki kukataa ombi la Mawakili wa hawa Viongozi.

Nawasilisha.
Kwani bado ni viongozi.?
 
Hapa utaambiwa upelelezi bado, shame CCM.
Kumbe CCM ndo wanapeleleza majalada siku hizi mkuu?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Muda mchache uliopita Viongozi wa TFF Rais Jamal Emil Malinzi na Katibu Mkuu wake Celestine Mwesigwa wamerudishwa tena Segerea hadi tarehe 31 mwezi huu ambapo Kesi yao itatajwa tena baada ya upande wa Washtaki kukataa ombi la Mawakili wa hawa Viongozi.

Nawasilisha.
Wakae tuu huko kama walituchakachua. Maana hakuna namna

Sent from my Startimes Nova N5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom