Mnabisha hata vitu ambavyo hamjui. Kwa muhtasari hii ndo kesi inayomkabili Malinzi na makamu wake: Rais wa TFF
Jamal Malinzi, Katibu Mkuu wa TFF,
Mwesigwa Selestine na Mhasibu wa Shirikisho hilo,
Nsiande Mwanga walifikishwa Mahakamani leo wakikabiliwa na mashitaka 28, ikiwemo ya utakatishaji fedha Dola za Marekani, 375,418.
Kilichotokea kwenye kesi ya Jamal Malinzi na wenzake Mahakamani leo – millardayo.com
FYI mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana, kama mnakumbuka kesi ya Ndama mutoto wa Ng'ombe kafuatilieni kama alipewa dhamana.