Malipo kupitia NCARD wakati mwingine ni changamoto! Wanafyeka pesa bila taarifa

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Hawa jamaa wa NCARD sometimes Yes sometimes No!

Wapo kianalog analogi sana!

Mwanzoni January walinifyeka 10000 bila kutumia chochote. Nikapiga customer care wakaahidi kushughulikia lakini holaa!

Juzi tena nimeweka elfu hamsini nayo wakalamba kimya kimya bila kutumia! Taarifa nimewapa lakini hamna chochote kinachoendelea!

Sasa naamini haya makampuni ya teknolojia bongo wameamua kuwa vibaka kupitia miamala!

"Mama tapeli, Binti kibaka! House girl mmbeya anavujisha siri, Wacha tuendelee kuishi nao hivyohivyo"
 
[emoji23][emoji23] mama huyu kwa jina la muungano na binti huyu mumewake ni mkazi wa lumumba na house girl huyu wa jana kwenye kesi ya mbowe kama shaidi wakili mbeya.
 
Mjomba nae gaidi hii familia majanga kweli
 
Back
Top Bottom