Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

informer1

Member
Joined
Jul 23, 2024
Posts
34
Reaction score
28
Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa?

Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi wasaidizi kutengeneza pesa nje ya mfumo rasmi, mfano mkoa wa tabora manispaa sh 30000 posho kwa siku, wilaya ya Igunga 30000 posho na 10000 ya chakula kwa siku, wilaya Urambo 30000 posho,

Wilaya ya Uyui 30000 posho kwa siku, wilaya ya sikonge 30000 posho kwa siku, wilaya kaliua 30000 posho na ya chakula 10000, Nzega 30000 posho na yachakula sh 10000.

My note kwaninni wwngine walipwe posho kazi lakini wasipewe fedha ya chakula? Kuna baadhi ya wilaya hawajazungumzia hela chakula pia ikumbukwe wengi wao wamepagiwa vituo vya mbali nauli peke yake ni zaidi ya 15000 bado hujala.

Serikali iseme nikiwango kipi sahihi mwandikshikaji anatakiwa kulipwa sio kuishiwa kutengenezewa tisheti huku wachache wakiendelea kujinufaisha.
 
Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa?Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi wasaidizi kutengeneza pesa nje ya mfumo rasmi, mfano mkoa wa tabora manispaa sh 30000 posho kwa siku, wilaya ya Igunga 30000 posho na 10000 ya chakula kwa siku, wilaya Urambo 30000 posho,Wilaya ya Uyui 30000 posho kwa siku, wilaya ya sikonge 30000 posho kwa siku, wilaya kaliua 30000 posho na ya chakula 10000, Nzega 30000 posho na yachakula sh 10000.

Mode rekebisha heading kila wilaya inalipa inavyotaka
 
Mkuu em tulia dawa ikuingie. Kwa sababu zifuatazo.
1. Sifa moja ya kupata kazi ya kuandikisha wapiga kura serikal za mitaa ni uwe mtumishi
2. Kumbuka mwajiri wako hapo sio tume ya uchaguzi na ndio maana INEC kwenye zoezi la brv waliweka wazi kabsa posho itakuwa sh 50000 wewe hapo mwajiri wako ni mkurugenzi wa halmashaur unayofanyia kazi
3. Sasa kama mwajiri wako ni mkurugenz wako iweje umpangie akulipe sawasawa na halmashaur nyingine?
4. Labda halmashaur yako haina mapat ya kutosha na ndio maana kila moja anaandikisha ndan ya kata au mtaa wake

N.b wewe ni mtumishi wa umma kama hujaridhika wambie wale watu wa akiba waje waendeleze zoezi maana utatuharibia zoezi letu
 
Ndo wanauliza wanaoandikisha malipo haya yanalipwa na vyanzo vya ndani vya halmashauri?! Kama zoezi linaratibiwa na tume uchaguzi kupitia kwa watumishi walioajiriwa na mkurugenzi kuna mambo yanatakiwa yaainishwe hii ni pamoja na pesa ya chakula kwanini baaabdhi ya halmshauri zitoe hela ya chakula na nyingine zisitowe?! Kuna kitu hakiko sawa
 
Muulize kipindi anasaini mkataba aliisoma vizuri na kuuelewa? Kama alisaini bila kusoma na kuelewa aende akavunje mkataba
 
Ndo wanauliza wanaoandikisha malipo haya yanalipwa na vyanzo vya ndani vya halmashauri?! Kama zoezi linaratibiwa na tume uchaguzi kupitia kwa watumishi walioajiriwa na mkurugenzi kuna mambo yanatakiwa yaainishwe hii ni pamoja na pesa ya chakula kwanini baaabdhi ya halmshauri zitoe hela ya chakula na nyingine zisitowe?! Kuna kitu hakiko sawa
Tulisema since day one tunataka tume huru Sasa hio sio tume huru yaani mtoa mada na wewe ni miongoni mwa wahuni mnaokula pesa za walalahoi hivyo usiulize wote ni wezi period
 
mbaya zaidi ni kwa hawa mawakala wa chadema unambiwa wanakosa hata mlo wa mchana toka kwenye chama chao huku wakishinda kituoni toka saa2 hadi 12 jioni huu ni unyama wa aina gani wallah
 
Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa?Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi wasaidizi kutengeneza pesa nje ya mfumo rasmi, mfano mkoa wa tabora manispaa sh 30000 posho kwa siku, wilaya ya Igunga 30000 posho na 10000 ya chakula kwa siku, wilaya Urambo 30000 posho,Wilaya ya Uyui 30000 posho kwa siku, wilaya ya sikonge 30000 posho kwa siku, wilaya kaliua 30000 posho na ya chakula 10000, Nzega 30000 posho na yachakula sh 10000.
My note kwaninni wwngine walipwe posho kazi lakini wasipewe fedha ya chakula? Kuna baadhi ya wilaya hawajazungumzia hela chakula pia ikumbukwe wengi wao wamepagiwa vituo vya mbali nauli peke yake ni zaidi ya 15000 bado hujala.
Serikali iseme nikiwango kipi sahihi mwandikshikaji anatakiwa kulipwa sio kuishiwa kutengenezewa tisheti huku wachache wakiendelea kujinufaisha.
Pole sana mkuu. Hiyo ndiyo serikali pendwa ya CCM na mambo yake ya kishetani.
 
Mkuu em tulia dawa ikuingie. Kwa sababu zifuatazo.
1. Sifa moja ya kupata kazi ya kuandikisha wapiga kura serikal za mitaa ni uwe mtumishi
2. Kumbuka mwajiri wako hapo sio tume ya uchaguzi na ndio maana INEC kwenye zoezi la brv waliweka wazi kabsa posho itakuwa sh 50000 wewe hapo mwajiri wako ni mkurugenzi wa halmashaur unayofanyia kazi
3. Sasa kama mwajiri wako ni mkurugenz wako iweje umpangie akulipe sawasawa na halmashaur nyingine?
4. Labda halmashaur yako haina mapat ya kutosha na ndio maana kila moja anaandikisha ndan ya kata au mtaa wake

N.b wewe ni mtumishi wa umma kama hujaridhika wambie wale watu wa akiba waje waendeleze zoezi maana utatuharibia zoezi letu
Acha kupotosha, umetoa maelezo ya uongo,jibu alichouliza kama huna jibu acha kupotosha
 
Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa?Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi wasaidizi kutengeneza pesa nje ya mfumo rasmi, mfano mkoa wa tabora manispaa sh 30000 posho kwa siku, wilaya ya Igunga 30000 posho na 10000 ya chakula kwa siku, wilaya Urambo 30000 posho,Wilaya ya Uyui 30000 posho kwa siku, wilaya ya sikonge 30000 posho kwa siku, wilaya kaliua 30000 posho na ya chakula 10000, Nzega 30000 posho na yachakula sh 10000.
My note kwaninni wwngine walipwe posho kazi lakini wasipewe fedha ya chakula? Kuna baadhi ya wilaya hawajazungumzia hela chakula pia ikumbukwe wengi wao wamepagiwa vituo vya mbali nauli peke yake ni zaidi ya 15000 bado hujala.
Serikali iseme nikiwango kipi sahihi mwandikshikaji anatakiwa kulipwa sio kuishiwa kutengenezewa tisheti huku wachache wakiendelea kujinufaisha.
Kwa mtazamo huu, akija mtu akakupa 30,000 ili umchakachulie matokeo yake utakataa?

Amandla....
 
kua mzalendo gentleman, jifunze kujitolea 🐒
 
Uongo upi? Wote wanalipwa posho sawa isipokuwa hiyo ya chakula. Ni wazi kuwa ya chakula ni utashi na uwezo wa halmashauri husika.

Amandla...
Na ndio maana nikamwambia hapo ni halmashauri husika kuona kama bajet inaruhusu kulipa posho ya chakula yeye anakuja hapa kushupaza shingo eti ni uongo
 
Kwani pesa inalipwa na halmashauri au?!
 
Back
Top Bottom