Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

Mkuu em tulia dawa ikuingie. Kwa sababu zifuatazo.
1. Sifa moja ya kupata kazi ya kuandikisha wapiga kura serikal za mitaa ni uwe mtumishi
2. Kumbuka mwajiri wako hapo sio tume ya uchaguzi na ndio maana INEC kwenye zoezi la brv waliweka wazi kabsa posho itakuwa sh 50000 wewe hapo mwajiri wako ni mkurugenzi wa halmashaur unayofanyia kazi
3. Sasa kama mwajiri wako ni mkurugenz wako iweje umpangie akulipe sawasawa na halmashaur nyingine?
4. Labda halmashaur yako haina mapat ya kutosha na ndio maana kila moja anaandikisha ndan ya kata au mtaa wake

N.b wewe ni mtumishi wa umma kama hujaridhika wambie wale watu wa akiba waje waendeleze zoezi maana utatuharibia zoezi letu
Hii hela siyo mapato ya halmashauri mkuu usidanganye watu hili ni fungu lililotengwa na limetoka serikalini kupelekwa katika halmashauri zote kulingana na idadi ya vituo na watu watakaoajiriwa ,, ingawa mimi sijabahatika kupata hiyo fursa ila halmashauri malipo ni 40000 ambayo ni semina siku 2 ni 80000 na kazi ni 30000 × 10 na chakula ni 10000 ×10 total ni 480000
 
Kuna kwingine iyo 10000 ya chakula imepigwa na haijatangazwa na wanasema hawaezi kuitoa labda wawafukuze kazi
 
Hii hela siyo mapato ya halmashauri mkuu usidanganye watu hili ni fungu lililotengwa na limetoka serikalini kupelekwa katika halmashauri zote kulingana na idadi ya vituo na watu watakaoajiriwa ,, ingawa mimi sijabahatika kupata hiyo fursa ila halmashauri malipo ni 40000 ambayo ni semina siku 2 ni 80000 na kazi ni 30000 × 10 na chakula ni 10000 ×10 total ni 480000
Mkuu uwe unauliza kwanza kama halmashauri yako wamelipwa hvyo usichukulie kuwa kila halmashaur wanalipa hvyo fanya utafiti ndiyo urudi hapa
 
Hakuna cha utafiti hapo jibu ni kuwa kazi imeingiliwa na mchwa full stop
 
Mkuu em tulia dawa ikuingie. Kwa sababu zifuatazo.
1. Sifa moja ya kupata kazi ya kuandikisha wapiga kura serikal za mitaa ni uwe mtumishi
2. Kumbuka mwajiri wako hapo sio tume ya uchaguzi na ndio maana INEC kwenye zoezi la brv waliweka wazi kabsa posho itakuwa sh 50000 wewe hapo mwajiri wako ni mkurugenzi wa halmashaur unayofanyia kazi
3. Sasa kama mwajiri wako ni mkurugenz wako iweje umpangie akulipe sawasawa na halmashaur nyingine?
4. Labda halmashaur yako haina mapat ya kutosha na ndio maana kila moja anaandikisha ndan ya kata au mtaa wake

N.b wewe ni mtumishi wa umma kama hujaridhika wambie wale watu wa akiba waje waendeleze zoezi maana utatuharibia zoezi letu
Nakwanini aende kama hajaridhika au kama hajaambiwa maslahi yake?
Tabu ipo palepale
 
Back
Top Bottom