Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

Hii hela siyo mapato ya halmashauri mkuu usidanganye watu hili ni fungu lililotengwa na limetoka serikalini kupelekwa katika halmashauri zote kulingana na idadi ya vituo na watu watakaoajiriwa ,, ingawa mimi sijabahatika kupata hiyo fursa ila halmashauri malipo ni 40000 ambayo ni semina siku 2 ni 80000 na kazi ni 30000 × 10 na chakula ni 10000 ×10 total ni 480000
 
Kuna kwingine iyo 10000 ya chakula imepigwa na haijatangazwa na wanasema hawaezi kuitoa labda wawafukuze kazi
 
Mkuu uwe unauliza kwanza kama halmashauri yako wamelipwa hvyo usichukulie kuwa kila halmashaur wanalipa hvyo fanya utafiti ndiyo urudi hapa
 
Mkuu uwe unauliza kwanza kama halmashauri yako wamelipwa hvyo usichukulie kuwa kila halmashaur wanalipa hvyo fanya utafiti ndiyo urudi hapa
Hakuna cha utafiti hapo jibu ni kuwa kazi imeingiliwa na mchwa full stop
 
Nakwanini aende kama hajaridhika au kama hajaambiwa maslahi yake?
Tabu ipo palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…