OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mtag ndugu yako mwambie malipo ni hapa hapa duniani. Kuna watu leo hii wanateseka wanatamani wafumbue macho waombe msamaha lakini wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hee hee yani kabla hujani tag nilikufikiria sana. Tusameheane ndugu yangu
View attachment 1727066
Ujumbe naowapa ndugu zangu mchana wa leo ni kwamba tutende wema. Usimuumize mwenzio. Malipo ni hapahapa duniani.
Mtag ndugu yako mwambie malipo ni hapa hapa duniani. Kuna watu leo hii wanateseka wanatamani wafumbue macho waombe msamaha lakini wapi