Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

Haijafanya kazi wala hujuwi Kilichomuua

Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona wakati Marekani wanasema Ipo

Amekufa ili mchanjwe vizuri hizo chanjo
Sitaki kuamini Kama uko sahihi, unless you bring the concrete evidence.
 
Kar

Karma ifanikiwe na kwa hao wanabuni magonjwa ya ajabu ajabu

Karma ifanikiwe pia kwa waliomuua Gaddafi mchana kweupe

Endelea kujifariji
Mimi anae nihusu Ni Magu. Tayari. Hao wengine hawanihusu
 
Chadema mtafurahia sana lakini hajui mnafuraia kitu gani. Mungu awasamehe Maana hamjui mlitendalo.

Siku zina kuja kila Aliemchukia huyu bwana Ataomboleza. Huyu bwana Alikua mzalendo wa kweli katika nchi yetu.
Kwendraaaaaaaaa
 
It's not always the case

SIYO kweli kwamba malipo ni hapa hapa na wala maisha hayapo hivyo

Sema wewe unajifariji tu

Kuna nyakati nyingi tu unaweza kutenda mema na ukapata mabaya (mfano mzuri ni Yesu), Kuna wakati unaweza kuwa huna kosa lolote na bado ukapata mabaya (Soma kisa cha Ayubu kwenye biblia)

Hivyo karma haifanyi kazi sawa sawa kwa Kila mtu. Wapo watu wakorofi kupindukia na wanaishi maisha mazuri mpaka wanakufa wenyewe uzeeni

Pambana na hali yako
Hiyo mifano yako ,umeitafakari!? au unalazimisha andiko lako liwe na mifano....
 
Chadema mtafurahia sana lakini hajui mnafuraia kitu gani. Mungu awasamehe Maana hamjui mlitendalo.

Siku zina kuja kila Aliemchukia huyu bwana Ataomboleza. Huyu bwana Alikua mzalendo wa kweli katika nchi yetu.
Mimi sifurahii kifo cha rais, siwezi kuombea kifo binadamu. Nachosema tutendeane haki, nasisitiza rais wakati wa uhai wake hakutendea wengine haki. Hili wewe unajua na dunia nzima inajua. Tuchukue mazuri tuache ya hovyo
 
Back
Top Bottom