Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

Warumi 14:8
[8]Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.

ALIKUA RAIS LAKINI HAKUA MALI YETU,YEYE BADO NI MALI YA BWANA
 
Mtu anaemuombea mwenzie mabaya, akumbuke hata yeye ipo siku yatamkuta.


Masiku kadhaa yaliyopita kuna member mmoja humu alipost ujinga wa kumtakia mtu flani mabaya/afe. Moderator hawakuchelewa, wakaifyekelea mbali thread yake...
Ile anasema ukimfanyia mabaya na yeye ukifa atafufahia?
 
Watanzania tulipitia kipindi kigumu sana.Kama kuna mtu anafikiri kuwa tutasahau ni punguani!
65430pl.jpg
 
Chadema mtafurahia sana lakini hajui mnafuraia kitu gani. Mungu awasamehe Maana hamjui mlitendalo.

Siku zina kuja kila Aliemchukia huyu bwana Ataomboleza. Huyu bwana Alikua mzalendo wa kweli katika nchi yetu.
 
Back
Top Bottom