Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

Kun thread ilikuwemo humu imefutwa...jamaa kama alijiandaa kufurahia

Kama Niliiona mkuu, Moderator wakaifyekelea mbali. Aise wstu wana moyo sana mkuu. itamsaidia nini kufurahia kifo cha mwenzio! akumbuke sote njia yetu, itafika siku yake naye ataondoka.
 
It's not always the case

SIYO kweli kwamba malipo ni hapa hapa na wala maisha hayapo hivyo

Sema wewe unajifariji tu

Kuna nyakati nyingi tu unaweza kutenda mema na ukapata mabaya (mfano mzuri ni Yesu), Kuna wakati unaweza kuwa huna kosa lolote na bado ukapata mabaya (Soma kisa cha Ayubu kwenye biblia)

Hivyo karma haifanyi kazi sawa sawa kwa Kila mtu. Wapo watu wakorofi kupindukia na wanaishi maisha mazuri mpaka wanakufa wenyewe uzeeni

Pambana na hali yako
Lakin at least karma imefanya kazi kwa huyu. Job well done
 
Mwogope Mungu maana mipango yake so yako.Kumbuka wenye ubaguzi kama we we wa ukanda nao wana mwanzo na mwisho.

Je, ni sawa kufurahia kifo cha mwenzio! Wapo waliofurahia, lakini wakumbuke kuwa kila nafsi itaonja umauti.


Mama yetu, Samia suluhu hassan tunamuombea kila laheri Mungu amuongoze kulitumikia taifa.
 
Mungu ni Mungu wa wanyonge. Siku zote husimama na wanyonge. Fundisho kubwa sana kwa wenye madaraka... Glory be to God!
 
Lakin at least karma imefanya kazi kwa huyu. Job well done
Haijafanya kazi wala hujuwi Kilichomuua

Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona wakati Marekani wanasema Ipo

Amekufa ili mchanjwe vizuri hizo chanjo
 
mbona watu wana long war za mda mrefu ivi.tupendane watanzania wenzangu this moment ni kama ndoto kukubali kama raisi wetu ametutoka apumzike kwa amani.🙏🙏🙏
 
Haijafanya kazi wala hujuwi Kilichomuua

Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona wakati Marekani wanasema Ipo

Amekufa ili mchanjwe vizuri hizo chanjo
Mimi sijali kilichomuua, mi ninachojali karma imefanikiwa
 
Back
Top Bottom