Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

Mkuu Mimi kiingereza sijui kwa hiyo sijaelewa hayo maandishi kwenye hiyo picha uliyotuma,

Naomba tafsiri kwa Kiswahili kwa faida yangu na wasomaji wenzangu Ambao ni Ngumbaru wa kingeeza Kama Mimi.
 
Mtu anaemuombea mwenzie mabaya, akumbuke hata yeye ipo siku yatamkuta.


Masiku kadhaa yaliyopita kuna member mmoja humu alipost ujinga wa kumtakia mtu flani mabaya/afe. Moderator hawakuchelewa, wakaifyekelea mbali thread yake...
 


It's not always the case

SIYO kweli kwamba malipo ni hapa hapa na wala maisha hayapo hivyo

Sema wewe unajifariji tu

Kuna nyakati nyingi tu unaweza kutenda mema na ukapata mabaya (mfano mzuri ni Yesu), Kuna wakati unaweza kuwa huna kosa lolote na bado ukapata mabaya (Soma kisa cha Ayubu kwenye biblia)

Hivyo karma haifanyi kazi sawa sawa kwa Kila mtu. Wapo watu wakorofi kupindukia na wanaishi maisha mazuri mpaka wanakufa wenyewe uzeeni

Pambana na hali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…