Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kun thread ilikuwemo humu imefutwa...jamaa kama alijiandaa kufurahia
Uko wapi jamaa ??Kwani Tayari?
Lakin at least karma imefanya kazi kwa huyu. Job well doneIt's not always the case
SIYO kweli kwamba malipo ni hapa hapa na wala maisha hayapo hivyo
Sema wewe unajifariji tu
Kuna nyakati nyingi tu unaweza kutenda mema na ukapata mabaya (mfano mzuri ni Yesu), Kuna wakati unaweza kuwa huna kosa lolote na bado ukapata mabaya (Soma kisa cha Ayubu kwenye biblia)
Hivyo karma haifanyi kazi sawa sawa kwa Kila mtu. Wapo watu wakorofi kupindukia na wanaishi maisha mazuri mpaka wanakufa wenyewe uzeeni
Pambana na hali yako
Mwogope Mungu maana mipango yake so yako.Kumbuka wenye ubaguzi kama we we wa ukanda nao wana mwanzo na mwisho.
dawa nzuri sasa ya kuiunganisha nchi na Taifa ni kutolipa visasi. Hao chawa waachwe tu nao ni waganga njaa tuChawa wake watakuwa wageni wa nani?
Siprriano MusibaCc: chawa wote
Cc. Wachawi wote.
If God will help him to rise again. Its better that man to rectify and confessed it bad deeds.
Sasa Manji si arudi tu angalau Wanayanga waonekaneUjumbe naowapa ndugu zangu mchana wa leo ni kwamba tutende wema. Usimuumize mwenzio. Malipo ni hapahapa duniani.
Mtag ndugu yako mwambie malipo ni hapa hapa duniani. Kuna watu leo hii wanateseka wanatamani wafumbue macho waombe msamaha lakini wapi
Haijafanya kazi wala hujuwi KilichomuuaLakin at least karma imefanya kazi kwa huyu. Job well done
Mimi sijali kilichomuua, mi ninachojali karma imefanikiwaHaijafanya kazi wala hujuwi Kilichomuua
Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona wakati Marekani wanasema Ipo
Amekufa ili mchanjwe vizuri hizo chanjo
Karma ifanikiwe na kwa hao wanabuni magonjwa ya ajabu ajabuMimi sijali kilichomuua, mi ninachojali karma imefanikiwa
Pole sana mkuuvipi mkeka kwani tayari huko? bado nakumbuka ki jumba na frem za ant angu pale kimara alivyolia
Aiseeeee !!Ujumbe naowapa ndugu zangu mchana wa leo ni kwamba tutende wema. Usimuumize mwenzio. Malipo ni hapahapa duniani.
Mtag ndugu yako mwambie malipo ni hapa hapa duniani. Kuna watu leo hii wanateseka wanatamani wafumbue macho waombe msamaha lakini wapi
Mungu amfute machozi shangazi yako , Aminavipi mkeka kwani tayari huko? bado nakumbuka ki jumba na frem za ant angu pale kimara alivyolia