Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Sitaki kuamini Kama uko sahihi, unless you bring the concrete evidence.Haijafanya kazi wala hujuwi Kilichomuua
Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona wakati Marekani wanasema Ipo
Amekufa ili mchanjwe vizuri hizo chanjo
Mimi anae nihusu Ni Magu. Tayari. Hao wengine hawanihusuKar
Karma ifanikiwe na kwa hao wanabuni magonjwa ya ajabu ajabu
Karma ifanikiwe pia kwa waliomuua Gaddafi mchana kweupe
Endelea kujifariji
Tayari,the sadist is gone for goodvipi mkeka kwani tayari huko? bado nakumbuka ki jumba na frem za ant angu pale kimara alivyolia
Karma is a bitch!!Kwani Tayari?
KwendraaaaaaaaaChadema mtafurahia sana lakini hajui mnafuraia kitu gani. Mungu awasamehe Maana hamjui mlitendalo.
Siku zina kuja kila Aliemchukia huyu bwana Ataomboleza. Huyu bwana Alikua mzalendo wa kweli katika nchi yetu.
Hiyo mifano yako ,umeitafakari!? au unalazimisha andiko lako liwe na mifano....It's not always the case
SIYO kweli kwamba malipo ni hapa hapa na wala maisha hayapo hivyo
Sema wewe unajifariji tu
Kuna nyakati nyingi tu unaweza kutenda mema na ukapata mabaya (mfano mzuri ni Yesu), Kuna wakati unaweza kuwa huna kosa lolote na bado ukapata mabaya (Soma kisa cha Ayubu kwenye biblia)
Hivyo karma haifanyi kazi sawa sawa kwa Kila mtu. Wapo watu wakorofi kupindukia na wanaishi maisha mazuri mpaka wanakufa wenyewe uzeeni
Pambana na hali yako
Mimi sifurahii kifo cha rais, siwezi kuombea kifo binadamu. Nachosema tutendeane haki, nasisitiza rais wakati wa uhai wake hakutendea wengine haki. Hili wewe unajua na dunia nzima inajua. Tuchukue mazuri tuache ya hovyoChadema mtafurahia sana lakini hajui mnafuraia kitu gani. Mungu awasamehe Maana hamjui mlitendalo.
Siku zina kuja kila Aliemchukia huyu bwana Ataomboleza. Huyu bwana Alikua mzalendo wa kweli katika nchi yetu.
Ngoja wajeCc. Wachawi wote.